Nimeipenda hii coz ujumbe umefika!

Nimeipenda hii coz ujumbe umefika!

MDAU JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
452
Reaction score
82
Hii iko huku kwetu, bora ujumbe unafika kwa walengwa, siku zinasogea! weekend njema wakuu.
 
Attachments

  • 028.JPG
    028.JPG
    294.5 KB · Views: 507
Hii iko huku kwetu, bora ujumbe unafika kwa walengwa, siku zinasogea! weekend njema wakuu.

Mdau, ingekuwa raha zaidi ukabandika picha badala ya thumbnail, namna hii:
attachment.php

hongera zako mkuu tutakuja na kingine ni mbegu za nini..
 
kila kitu kinataka elimu siku hizi hata ngumbaru inasaidia jamani tutafute elimu kwa uvumba
 
Mdau, ingekuwa raha zaidi ukabandika picha badala ya thumbnail, namna hii:

attachment.php

Du,ndo mambo ya kilimo kwanza icho....ivi kweli mkulima ataweza kusoma kweli apo?????
Jamani ivi apo anamaanisha ivi...
MAGANGA AGROVET & GENERAL SUPPLY
TUNAUZA PEMBEJEO ZA KILIMO
  • UREA SH. 28,500
  • DRP SH. 47,000
  • MBEGU KILO 10 SH. 13,000
Au na mi tena sijaona vizuri??
 
Back
Top Bottom