Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,439
- 100,731
CCM haina mwenyewe ,Mwenyekiti wao wa chama kazidiwa nguvu na Mamvi.
Nape anasema hiyo ndio demokrasia ya CCM!Siku za hivi karibuni nimekuwa na furaha tu.... yaani kila nikiangalia hekaheka za CCM. Nilichokipenda zaidi ni ile hali ya familia moja kwa na wasemaji kibao yaani wote wana ndevu kuanzia Baba hadi watoto.
Kila mtu ana la kusema kwenye vyombo vya habari, kila mtu ana uwezo wa kuchagua mgombea, kla mtu ana uwezo wa kumhukumu mwenzie, mara huyu ni mzigo, mara huyu ni kiroba mara huyu ametumwa....bassssi raha tupu.
Honegereni CCM. mlijisahau kidogo mkaelekeza nguvu zenu kwenye mgogoro usiowahusu!
Nape anasema hiyo ndio demokrasia ya CCM!
Mpwa nyumba nzima kila mtu ana ndevu?
mbona chadema mpaka akina yericko wanakisemea chama? mbona akina mida8 wanatukana viingozi wakubwa wa chama wanavumiliwa? slaa anaropoka hovyo vitu ambavyo si msimamo wa chama kama kupika gongo?
Siku za hivi karibuni nimekuwa na furaha tu.... yaani kila nikiangalia hekaheka za CCM. Nilichokipenda zaidi ni ile hali ya familia moja kwa na wasemaji kibao yaani wote wana ndevu kuanzia Baba hadi watoto.
Kila mtu ana la kusema kwenye vyombo vya habari, kila mtu ana uwezo wa kuchagua mgombea, kla mtu ana uwezo wa kumhukumu mwenzie, mara huyu ni mzigo, mara huyu ni kiroba mara huyu ametumwa....bassssi raha tupu.
Honegereni CCM. mlijisahau kidogo mkaelekeza nguvu zenu kwenye mgogoro usiowahusu!
Siku za hivi karibuni nimekuwa na furaha tu.... yaani kila nikiangalia hekaheka za CCM. Nilichokipenda zaidi ni ile hali ya familia moja kwa na wasemaji kibao yaani wote wana ndevu kuanzia Baba hadi watoto.
Kila mtu ana la kusema kwenye vyombo vya habari, kila mtu ana uwezo wa kuchagua mgombea, kla mtu ana uwezo wa kumhukumu mwenzie, mara huyu ni mzigo, mara huyu ni kiroba mara huyu ametumwa....bassssi raha tupu.
Honegereni CCM. mlijisahau kidogo mkaelekeza nguvu zenu kwenye mgogoro usiowahusu!
Waite !waite! Waite! Mjomba chutamaa.
'jei kei ni dhaifu na c.c.yem ni uozo.
Hakuna mwenyekiti pale, aliyepo ni zuzu tu!