Nimeipenda CCM Bure yaani Kama Kambale Vile

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,211
Reaction score
99,963
Siku za hivi karibuni nimekuwa na furaha tu.... yaani kila nikiangalia hekaheka za CCM. Nilichokipenda zaidi ni ile hali ya familia moja kwa na wasemaji kibao yaani wote wana ndevu kuanzia Baba hadi watoto.

Kila mtu ana la kusema kwenye vyombo vya habari, kila mtu ana uwezo wa kuchagua mgombea, kla mtu ana uwezo wa kumhukumu mwenzie, mara huyu ni mzigo, mara huyu ni kiroba mara huyu ametumwa....bassssi raha tupu.

Honegereni CCM. mlijisahau kidogo mkaelekeza nguvu zenu kwenye mgogoro usiowahusu!

Baada ya Paul Makonda, Msindai, Nape, Mwigulu, Mangula kuongea na media kutoa matamko sasa ni Mgeja, Huyu nadhani atamkandia Malecela ambae aliongea juzi na Jana Ntwara nako wakatoa matamko kwa Niaba ya CCM chama sikivu. Guess who is next baada ya Mgeja? Probably ni mwenyekiti mwenyewe atakapoitisha Media pale Mbeya kesho na Lowasa akiitisha media Dar
 
Wazee wa zamani walisema hivi...."Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune"So sasa ni wakati wa wapinzani kulima wakija patana waaende wakavune.!!!!!!!!!:dance:
 
Mpwa nyumba nzima kila mtu ana ndevu?
 
Siku za hivi karibuni nimekuwa na furaha tu.... yaani kila nikiangalia hekaheka za CCM. Nilichokipenda zaidi ni ile hali ya familia moja kwa na wasemaji kibao yaani wote wana ndevu kuanzia Baba hadi watoto.

Kila mtu ana la kusema kwenye vyombo vya habari, kila mtu ana uwezo wa kuchagua mgombea, kla mtu ana uwezo wa kumhukumu mwenzie, mara huyu ni mzigo, mara huyu ni kiroba mara huyu ametumwa....bassssi raha tupu.

Honegereni CCM. mlijisahau kidogo mkaelekeza nguvu zenu kwenye mgogoro usiowahusu!
Nape anasema hiyo ndio demokrasia ya CCM!
 
mbona chadema mpaka akina yericko wanakisemea chama? mbona akina mida8 wanatukana viingozi wakubwa wa chama wanavumiliwa? slaa anaropoka hovyo vitu ambavyo si msimamo wa chama kama kupika gongo?
 
hahahaaaa limewagusa hilo!!!! Lini @Yericko aliitisha Press kama Mzee Malecela na Pmakonda? Leave alone Nape Nnauye na Msindai na wengine? Jibu tafadhali!!
mbona chadema mpaka akina yericko wanakisemea chama? mbona akina mida8 wanatukana viingozi wakubwa wa chama wanavumiliwa? slaa anaropoka hovyo vitu ambavyo si msimamo wa chama kama kupika gongo?
 
Last edited by a moderator:
Kinachonifurahisha nikutumia tingatinga liloisha OIL no LUBRICANT HOW IT CAN WORK WITHOUT??ALTHOUGH THEY ARE NO HYDRAULIC ,THE horse pipe are broken how can work IT??CCM kwishinei
 
It is not kwishney,na wapinzani wanajua hilo.wengi wa wenye fikra hizo ni wana propaganda.

Vita bado mbichi sanaaa,ila natambua hii ni silaha ya maangamizi ya kisaikolojia kwa wanaccm.
 
Siku za hivi karibuni nimekuwa na furaha tu.... yaani kila nikiangalia hekaheka za CCM. Nilichokipenda zaidi ni ile hali ya familia moja kwa na wasemaji kibao yaani wote wana ndevu kuanzia Baba hadi watoto.

Kila mtu ana la kusema kwenye vyombo vya habari, kila mtu ana uwezo wa kuchagua mgombea, kla mtu ana uwezo wa kumhukumu mwenzie, mara huyu ni mzigo, mara huyu ni kiroba mara huyu ametumwa....bassssi raha tupu.

Honegereni CCM. mlijisahau kidogo mkaelekeza nguvu zenu kwenye mgogoro usiowahusu!

Nimevutiwa zaidi na hitimisho lako
 
Usisahau ustadi wa wenye 'mbwa' kuwatumia 'mbwa wao' vizuri kubweka, wao wakiwa wanawachungulia..
 
Waite !waite! Waite! Mjomba chutamaa.

'jei kei ni dhaifu na c.c.yem ni uozo.

Hakuna mwenyekiti pale, aliyepo ni zuzu tu!
 
Back
Top Bottom