Nimeiona JamiiForums ya kweli kipindi hiki

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Nianze kusema hongereni sana all members of JamiiForums, nimekubali kwamba huu ni uwanja wa great thinkers, kuna wanachama wanauelewa mpana sana wa mambo humu ndani, anzia na hot news kwa sasa ndani ya nchi yetu (Madawa ya kulevya), Matokeo ya form 4 nk.

Nimeamini watanzania wana mengi sana ya kusema mioyoni mwao tena ya kujenga sana, napenda watu wanavyojadili suala la madawa ya kulevya all in all madawa ya kulevya ni kitu hatari sana ndo maana serikali nyingi duniania zimeweka sheria kali kuhusu madawa.

Leo hii tukisema Madawa ya kulevya yaanze kuuzwa kama Karanga mtaani baada ya miaka 3 Utakua ukipita huko njiani utakutana na watu waliochoka sana, kulala ovyo, Magonjwa kama Hiv/Aids, TB, Homa za mapafu kuongezeka kwa kasi nchi mwetu na hivyo kuharibu kabsa nguvu kazi ya Taifa.

Naipongeza serikali kwa kupambana na madawa ya kulevya kwa nguvu kubwa ila kuhusu watuhumiwa siwezi kupunguza/kuongeza neno lolote as longer Tiyari Serikali imeshaingilia kati.

Naamini haki ya mtu haipotei hivyo kila mtu atapata haki yake kulingana.

JamiiForums forever.
 
Sawa Mkuu,......zoea kuandika mada ki-JF ili kudhihirisha JF ni home of GTs.

Kwangu JF bora ni ile ya 2012-2014, ingawa mwaka huu nao umeanza vizuri.
 
Nianze kusema hongereni sana all members of JamiiForums, nimekubali kwamba huu ni uwanja wa great thinkers, kuna wanachama wanauelewa mpana sana wa mambo humu ndani, anzia na hot news kwa sasa ndani ya nchi yetu (Madawa ya kulevya), Matokeo ya form 4 nk.

Nimeamini watanzania wana mengi sana ya kusema mioyoni mwao tena ya kujenga sana, napenda watu wanavyojadili suala la madawa ya kulevya all in all madawa ya kulevya ni kitu hatari sana ndo maana serikali nyingi duniania zimeweka sheria kali kuhusu madawa.

Leo hii tukisema Madawa ya kulevya yaanze kuuzwa kama Karanga mtaani baada ya miaka 3 Utakua ukipita huko njiani utakutana na watu waliochoka sana, kulala ovyo, Magonjwa kama Hiv/Aids, TB, Homa za mapafu kuongezeka kwa kasi nchi mwetu na hivyo kuharibu kabsa nguvu kazi ya Taifa.

Naipongeza serikali kwa kupambana na madawa ya kulevya kwa nguvu kubwa ila kuhusu watuhumiwa siwezi kupunguza/kuongeza neno lolote as longer Tiyari Serikali imeshaingilia kati.

Naamini haki ya mtu haipotei hivyo kila mtu atapata haki yake kulingana.

JamiiForums forever.
Wenzio wanaomba Malaika washuke ili waje wafunge mtandao
 
Back
Top Bottom