TARURA, HALIMASHAURI na TANROAD, wote wameweka mabango yao, wanasubilia tu , kwanza operation, hiyo kubwa ifanyike ya kuwaondoa, ili pabakie wazi sasa atakae rudi ni kwa kibuli chake hivyo kitakacho mkuta ni juu yake!!unafikiria kweli wakishawatoa kwa mala ya kwanza, hawaweza kukaa na kujiachia kama sasa, kwani mtu anajua wakati wowote tu kinawaka, na wenye mabanda, hawataweza tena kuwa wana laza bidhaa zao humo tena, kwani ukikuta limevunjwa usiku huna wa kumuuliza!!
hio ni attitude Mmachinga anaonyesha makusudi kuwa yuko tayari kwa lolote, kwa kweli wengi wao wanaona hawana cha kupoteza ndio maana yuko tayari kwa lolote