M mzee wa kijiwe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 947 Reaction score 690 Jun 26, 2012 #1 alaa kumbe hakuna cha kukaribishana hapa, ngoka niingie ndani mwenyewe nianze kurusha vitu hewani, mtanikoma
alaa kumbe hakuna cha kukaribishana hapa, ngoka niingie ndani mwenyewe nianze kurusha vitu hewani, mtanikoma
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jun 26, 2012 #2 We mzee wa kijiwe litumie vizuri hili jukwaa la sivyo utakuta unapigwa ban si muda mrefu maana naona umeingia kwa mzuka sana waulize wenzio kwanza au kama wewe ni mwenyeji ila umeaamua kuja na id nyingine kuwa mstaarabu basi
We mzee wa kijiwe litumie vizuri hili jukwaa la sivyo utakuta unapigwa ban si muda mrefu maana naona umeingia kwa mzuka sana waulize wenzio kwanza au kama wewe ni mwenyeji ila umeaamua kuja na id nyingine kuwa mstaarabu basi
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,894 Reaction score 13,884 Jun 27, 2012 #3 Karibu sana JF mkuu.
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,656 Jun 27, 2012 #4 Hahaha very soon atakaribishwa na ban Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,400 Reaction score 3,028 Jun 28, 2012 #5 Karibu JF.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,657 Reaction score 76,739 Jul 3, 2012 #6 Pita ndani.