NIMEINGIA CHOO CHA KIKE. Msaada tafadhari.

aisee dunia ina mambo!

wewe subira ajifungue kapime nae dna then timua na ww rudi mbinga faster, ushaharibu uko.
akapime nae DNA wakati hajamgonga?.

Yeye apige kimya tu wakati anamsoma huyo demu jinsi ya kumkimbia na kumwachia maumivu.
 
aisee,kati ya mabwege we ----- rafiki yangu,hata hao wakwe zako washakuona ----- kwani wewe ndio dawa ya shida na matatizo yao
 
akiwa na majibu ya vipimo vya dna,itakua rahisi kwake kuwaelezea wazazi wa huyo binti kua hahusiki na ujauzito huo..itatumika kama uthibitisho

Kuna baadhi ya vitu huhitaji kuthibitisha kwa nguvu kubwa sana. Acha mda uchukue mkondo wake maisha yataweka wazi pumba na mchele. Huyo dada hana adabu wala aibu hata chembe. Na huyo jamaa hana sababu ya kuiogopa familia yake. Uchawi hauna nguvu mbele ya Yesu. Yesu ndio kinga yake. Asonge mbele na maisha ajikabidhi maisha yake kwa Yesu yafichwe kabisa.

Collosians 3: 1 Since, then, you have been raised with Christ, set your hearts on things above, where Christ is, seated at the right hand of God. 2 Set your minds on things above, not on earthly things. 3For you died, and your life is now hidden with Christ in God. 4 When Christ, who is your[SUP]a[/SUP] life, appears, then you also will appear with him in glory.

Kama kiingereza kinasumbua fungua biblia yako ya kimakonde usome kwa lugha uliyozaliwa nayo
 
kamuangalie vizuri, pengine ndo yule askari wako! na kama huna kazi nyingine huko choo cha kike ondoka huko haraka, tatito wagoni ndo mlivyo bora utumwe pesa itafika salama kuliko mke. hayo ndo maisha uliyoaga unaenda kuyatafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…