NIMEINGIA CHOO CHA KIKE. Msaada tafadhari.

na sasa ivi umeshalala nae? kuna wanawake watabe me ningemwachia geto nisepe....... wakerewe si wachawi labda alikuwa anakugonga usiku hujui....
 
Mwanaume wa ukweli hashikishwi mimba ambayo siyo yake! Demu hujachapa halafu anakusingizia na unakubali, utakuwa na matatizo kijana! Na usiku mnalalaje?! Cha msingi we mtimue hapo kwako na atakaemrudisha, awe mjomba, kaka, mama au baba we mtie shoka la kichwa! Uone kama watakuja tena. Be a man brother, you are no longer a boy!
 
Tatizo ni pale ulipokubali kuondoka naye kama mimba haikuwa yako kwa nini hukuzua varangati mpaka wajute kukuona,mrudishe ukawe tayari kupambana na lolote litakalotokea huko,lakini tangu aje kwako hujammega kweli?
 
Chapa lapa...kaangalie ustaarabu mwingine mbele ya safari. Majanga hayo
 
akiwa na majibu ya vipimo vya dna,itakua rahisi kwake kuwaelezea wazazi wa huyo binti kua hahusiki na ujauzito huo..itatumika kama uthibitisho
Hivi nyie mnaosema asubiri mtoto azaliwe ndo akapime DNA. Akili zenu ziko sawa sawa kweli?
Hivi Kama hujala chakula kwa siku mbili au tatu mfululizo chooni unaenda kufata nini?
Embu tumieni akili Kidogo.
 

pole sana mkuu,ndio mitihani ya maisha,simama uzidi kupambana,hiyo roho ya kujinyonga usiipe nafasi.
 
Hivi nyie mnaosema asubiri mtoto azaliwe ndo akapime DNA. Akili zenu ziko sawa sawa kweli?
Hivi Kama hujala chakula kwa siku mbili au tatu mfululizo chooni unaenda kufata nini?
Embu tumieni akili Kidogo.

nmetengua kauli hapo chini mkuu...namshanga kwnn bado anakaa nae
 
sasa ilitokea mtoto amezaliwa na mkaamua kupima DNA na majibu yakaja ni kweli huyo mtoto ni wako so ndo utapagawa kabisa
 
hivi akili umeiacha wapi?
moja unajua kabisa ukerewe ni wachawi kukaa naye ndoo kabisaa utapewa sijui ni nyama gani vile halafu ndoo mwisho wako utakua umefika wa kujitambua.
pili mwanamke si wako na mtoto pia si wako unakaa nae mikoa ya kutafuta hela imeisha? ukikaa hapo ndo mambo yako yameisha....Buriani mkuu
 
miezi tisa usiku na mchana na lea kisicho changu. Pili ni mtu nilieweka nae malengo ya ndoa, sijamzama lakini anasema mimba yangu!!! Ndio maana uvumilivu sio dini yangu. kha!
 
Tatizo ni pale ulipokubali kuondoka naye kama mimba haikuwa yako kwa nini hukuzua varangati mpaka wajute kukuona,mrudishe ukawe tayari kupambana na lolote litakalotokea huko,lakini tangu aje kwako hujammega kweli?

hata siku moja sija mla.
M
 
Muulize kiupole sana baba wa huyo mtoto ni nani na anakaa wapi alafu akikwambia funga safari uende ukamsalimie Kiume zaidi.
 
Doesn't exist in this world, hizi ni story za rfa kwenye kipindi cha sitasahau not real be serious Kiongozi.
 
nasepa...mkuu,sina chakusubiri.



Hivi unajisikiaje unapotunga habari?nadhani we mtu mzima,then kama ni mazoezi ya kujifunza kutunga hadithi sawa kwa unachokifanya ila kama ni kujiburudisha huo muda wa kutunga ungewaza kitu kizuri cha kufanya,Mwanza kuna fursa nyingi sana,kama un a shughuli ya kufanya ni pm jion uje SD exucutive lodge nikusaidie shughuli uweze kupata kipato cha kusaidia ndugu zako.
 
Kwaiyo we ulioogopa SIme? hahaaa Andaa laki 1 ya Nauli Bro utimke....ye akijinyonga huku nyuma juu yake
 
mm kilichonivutia hapo ni biashara naomba unitx kwa 0755279119 nahitaji kujua vitu flani kuhusu hiyo biashara ya mkaa na dagaa.otherwise fukuza hyo mbuzi
 
Rudi kwenu Mbinga ukalime tumbaku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…