Nimeingia chimbo lenye Competition na Tajiri wa hapa town

Mlete na wako nimkaze basi maana unaona kama huyu nilifaidi sana ukiwepo na wewe pia shenzi
huyo kakushinda mzee baba ndio mana kamaind umeshindwa kumkaza unacheza na simu night! inaonekana psychology yako iko hovyo kabisa. Kama manzi ukimkuna vema atalala na kustukia tuu kumekucha, kitendo cha yeye kuamka saa 7 ni ishara kua wewe ndi manless, ova.
 
Dogo utaumia mwanamke ni mtu wa mihemuko iko siku utakutana na kijana dogo zaidi yako anaye ndo utajua mwanamke ni MTU wa aina gani
 
Mzee nimekuambia ivi mlete na wako pia sitaki ubishi wa kutype Mimi hata psychology iwe vipi najielewa mwenyewe na watu wananizunguka wewe hii haikuongezei kitu wala kupunguza kitu. Watu wenye matatizo mna hasira sana kwenye nyuzi kama hizi.
huyo kakushinda mzee baba ndio mana kamaind umeshindwa kumkaza unacheza na simu night! inaonekana psychology yako iko hovyo kabisa. Kama manzi ukimkuna vema atalala na kustukia tuu kumekucha, kitendo cha yeye kuamka saa 7 ni ishara kua wewe ndi manless, ova.
 
Uzuri sishindani nao mkuu Ila nafahamu ni noma sana kiongozi.
Dogo utaumia mwanamke ni mtu wa mihemuko iko siku utakutana na kijana dogo zaidi yako anaye ndo utajua mwanamke ni MTU wa aina gani
 
Mzee nimekuambia ivi mlete na wako pia sitaki ubishi wa kutype Mimi hata psychology iwe vipi najielewa mwenyewe na watu wananizunguka wewe hii haikuongezei kitu wala kupunguza kitu.watu wenye matatizo mna hasiraWatu we sana kwenye nyuzi kama hizi.
mwenye matatizo ni wewe ambae unakula demu wa mtu na unajua kabisa, andaa na kikopo cha rays kabisa shwain
 
Bro mbona kama umemaind nakutania tu sina nia ya kukukwaza kiasi hicho kaka yangu. Na sijiskii poa kukuharibia siku kama nimekukwaza NISAMEHE na life chat iendelee kama kawa.
mwenye matatizo ni wewe ambae unakula demu wa mtu na unajua kabisa, andaa na kikopo cha rays kabisa shwain
 
Mapezi sio kitu cha kuchzyeiya.

Habari wakuu. Nina week tatu sasa nipo katika mapenzi motomoto na Binti mrembo sijapata ona. Kama ni ufundi kajaaghliwa, ananiheshimu na anajielewa ni mtu mzima kidogo kaniacha miaka kama Matatu.

Wakuu Week iliyopita nilikumbana na Maswahibu, na nibaada ya kupewa mwaliko wa kufika sehemu Mwana dada alipopanga.

Kama kawaida niliupokea kwa mikono miwili. Ili hali namkumbuka sana Afande wangu wa 842 KJ aliniiambia Dogo ukienda popote pale hakikisha usalama wako kwanza. Aliniambia niangalie vitu hivi.

*Dirisha La kutokea endapo hali itachafuka.
*Tundu juu ya Dari endapo hali itachafuka.
*Silaha iliyokaribu Mfano Knife au Panga ndani ya Mjengo nitakaokuwepo.
*Kutumia akili ya ziada (Inteligence).

Sasa Baada ya kuyakumbuka hayo nilijitosa nikaibuka kwa Mrembo wangu,Mapokezi yalikua shwari kabisa. Wakati story zinaendelea Ghafla mlango ulianza kugongwa huku kitasa kinazungushwa kwa nguvu. Ma***e kumbe ukifumaniwa lazima uwe mdogo kama piritoni. Hapa ndipo nilijiona lofa Kinywaji nilichokua naendelea nacho nilishindwa maliza nikachukua utulivu kwanza. Wakati huo binti kajilaza kitandani anabonya simu yake.

Uzalendo ukanishinda baada ya kuona Jamaa anakamia mlango ndani ya dk 10. Nikamtext mrembo wangu "Nani huyo" akajibu "Jirani yangu ila ananisumbua saana"

Uhhhh!!! Pumzi nazishusha mdomdo. Ghafla jamaa akaacha kugonga mlango. Na hapo ndipo nikajivuta kwa bedi kwanza kujua undani Why ??? Nikaambiwa tu "kuna Ndinga umeiona hapo nje wakati unaingia ni yake anafanya biashara hapa hapa Town, ila ananisumbua sana kwa kigezo cha pesa zake"

Mimi sio mjinga kiasi cha lami! Wakati nipo kitandani na nishajua Mtoto haitaji pesa nilijua anaitaji mapenzi ya dhati tu kwakua ni Afisa...... flani. Nilimchombeza na kufurahia usiku ule vizuri, bila wenge la Jirani yake.

Na nilikua sijui kumbe ukimpatia penzi motomoto mwanamke lazima atakushukuru "Niliambiwa Ahsante umeikata kiu yangu".

Sasa wakuu kuna taarifa za chini ya kapeti nimepata jamaa ananitafuta niingie anga zake anitambalizee. Juzi alinikosa kosa kwa ndinga. Na jamaa Kanizidi umri sana. Anadai Chalii mdogo kama mimi siwezi shindana nae atatumia kila njia.

Povu siitaji!
NB : Wakuu ukipata mwaliko kwa Mwanamke usiende kama una roho nyepesi. Vinginevyo yakikukuta utakufaa sio kwa kupigwa kwa presha.
Na atakufukua kweli ukileta mchezo
 
Back
Top Bottom