Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
HAPANAJe wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
Siyo kukaguaHakuna faida ya kukaguana simu, mapenzi yakiisha si utaona tu mtu anavyobadilika?
Kwanini hapana?HAPANA
1. Huyo mwenzio ana watu anataniana nao, kuna matani huwa yanaonyesha watu wana mahusiano ya kimapenzi ingawa hapana, UTAWEZA KUTOFAUTISHA KWAMBA HUU NI UKWELI AUA LA?Kwanini hapana?
sasa 'access' ya nini, kucheza game?😂Siyo kukagua
😂😂 To yeye kwenye one twoHapana,maana kilichonileta kwake ni uboo simu ya nini? Akiificha ile msosi akwende tu
N kweli maana ukipata unachokitafuta utavumilia?Likewise bro.....ukuni mtamu aisee....unaweza kuta kuchungulia simu ya mwenzio ndiyo kukupelekea kuipoteza na sweet yenyewe😉
Mtaachana afu utashangaa alikuwa mtamu kweli kwa bed,daah....ndo ushapotezaN kweli maana ukipata unachokitafuta utavumilia?
1. Huyo mwenzio ana watu anataniana nao, kuna matani huwa yanaonyesha watu wana mahusiano ya kimapenzi ingawa hapana, UTAWEZA KUTOFAUTISHA KWAMBA HUU NI UKWELI AUA LA?
2. Kuingia kwenye mahusiano, haimaanisha huyo mtu hana private life.
3. Kwanini simu pekee? Kama una maanisha basi siku nyingine mwaume avae sidiria ya mkewe au mpenzi wake..!!
BY THE WAY, USIMCHUNGUZE MTU AMBAYE KUMUACHA HUWEZI
Njyoo vihle..!!! Huwezi bagua, kama unaitaka simu yake siku nyingine itake sidiria yake..!!eti avae sidiria
Ndiyosasa 'access' ya nini, kucheza game?