C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 18, 2019 #61 Haya bhana. 4G LTE said: Inavuta hisia Click to expand...
Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,056 Reaction score 8,543 Jun 18, 2019 #62 Shunie said: Hahaha ajenda yetu ni kwamba hatutaki kuwa na wanaume wanaolialia kwa vitu vidogo Hizo wig zitozwe kodi tu tutavaa hivyohivyo tukishindwa tutanyoa Click to expand... Kwa dar sisi wanaume wa simba mnatuonea Mambo hizo za kulia lia zipo kwa majirani
Shunie said: Hahaha ajenda yetu ni kwamba hatutaki kuwa na wanaume wanaolialia kwa vitu vidogo Hizo wig zitozwe kodi tu tutavaa hivyohivyo tukishindwa tutanyoa Click to expand... Kwa dar sisi wanaume wa simba mnatuonea Mambo hizo za kulia lia zipo kwa majirani
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Jun 18, 2019 #63 cute b said: Haya bhana. Click to expand... 😆😆😆😆 Naamanisha hisia za Bob Marley
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,437 Reaction score 176,391 Jun 18, 2019 #64 Mwifwa said: Wengine wakiombwa naniliu..muda huohuo wanaingia mwezini. Click to expand... Ndio msiombe sasa.
Mwifwa said: Wengine wakiombwa naniliu..muda huohuo wanaingia mwezini. Click to expand... Ndio msiombe sasa.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,564 Jun 18, 2019 #65 Atoto said: Ndio msiombe sasa. Click to expand...
Tieli JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 651 Reaction score 1,516 Jun 18, 2019 #66 Haina muda maalumu ila wewe uliyedowea kwa jirani utakadiria kuwa uage Dreka said: Hivi ukishakula kwa jirani, unatakiwa kukaa kwa muda gani kabla ya kuaga ? Click to expand...
Haina muda maalumu ila wewe uliyedowea kwa jirani utakadiria kuwa uage Dreka said: Hivi ukishakula kwa jirani, unatakiwa kukaa kwa muda gani kabla ya kuaga ? Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,437 Reaction score 176,391 Jun 18, 2019 #67 Mwifwa said: Click to expand... Kumbe?
elvee JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,110 Reaction score 1,629 Jun 18, 2019 #68 Tieli said: Haaahaaaa na nyie mkipewa namba muda huo huo unaleta Uzi jf, muda huo huo unawaza ukamgegede, muda huo huo unahofia kupigwa mizinga, muda huo huo..... ......... Click to expand... Muda huo huo anaomba kutumiwa Pichai WhatsApp....
Tieli said: Haaahaaaa na nyie mkipewa namba muda huo huo unaleta Uzi jf, muda huo huo unawaza ukamgegede, muda huo huo unahofia kupigwa mizinga, muda huo huo..... ......... Click to expand... Muda huo huo anaomba kutumiwa Pichai WhatsApp....
elvee JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,110 Reaction score 1,629 Jun 18, 2019 #69 Mwifwa said: Wengine wakiombwa naniliu..muda huohuo wanaingia mwezini. Click to expand... Mwezini kufata nini?
Mwifwa said: Wengine wakiombwa naniliu..muda huohuo wanaingia mwezini. Click to expand... Mwezini kufata nini?
Tieli JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 651 Reaction score 1,516 Jun 18, 2019 #70 elvee said: Mwezini kufata nini? Click to expand... Kuchinja kuku
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Jun 18, 2019 #71 Tieli said: Haina muda maalumu ila wewe uliyedowea kwa jirani utakadiria kuwa uage Click to expand... Mimi huwa nawaomba waniwekee kwenye hot pot. Nitaenda kula nyumbani kwangu.
Tieli said: Haina muda maalumu ila wewe uliyedowea kwa jirani utakadiria kuwa uage Click to expand... Mimi huwa nawaomba waniwekee kwenye hot pot. Nitaenda kula nyumbani kwangu.
Tieli JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 651 Reaction score 1,516 Jun 18, 2019 #72 Dreka said: Mimi huwa nawaomba waniwekee kwenye hot pot. Nitaenda kula nyumbani kwangu. Click to expand... Mmh mkuu utakuwa unawafanya wajute kuwa na jirani kama wew
Dreka said: Mimi huwa nawaomba waniwekee kwenye hot pot. Nitaenda kula nyumbani kwangu. Click to expand... Mmh mkuu utakuwa unawafanya wajute kuwa na jirani kama wew
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Jun 18, 2019 #73 Tieli said: Mmh mkuu utakuwa unawafanya wajute kuwa na jirani kama wew Click to expand... Mimi sipendi kujivunga vunga mkuu. Na wao wakija kwangu wanapata full package kwa hiyo tumezoeshana hivyo.
Tieli said: Mmh mkuu utakuwa unawafanya wajute kuwa na jirani kama wew Click to expand... Mimi sipendi kujivunga vunga mkuu. Na wao wakija kwangu wanapata full package kwa hiyo tumezoeshana hivyo.
Tieli JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 651 Reaction score 1,516 Jun 18, 2019 #74 Dreka said: Mimi sipendi kujivunga vunga mkuu. Na wao wakija kwangu wanapata full package kwa hiyo tumezoeshana hivyo. Click to expand... Samahani mkuu kuna vyumba vya kupanga hapo jirani na unapoishi
Dreka said: Mimi sipendi kujivunga vunga mkuu. Na wao wakija kwangu wanapata full package kwa hiyo tumezoeshana hivyo. Click to expand... Samahani mkuu kuna vyumba vya kupanga hapo jirani na unapoishi
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Jun 18, 2019 #75 Tieli said: Samahani mkuu kuna vyumba vya kupanga hapo jirani na unapoishi Click to expand... Ninapoishi hakuna ila nyumba ninayokaa ina chumba cha wageni. Karibu
Tieli said: Samahani mkuu kuna vyumba vya kupanga hapo jirani na unapoishi Click to expand... Ninapoishi hakuna ila nyumba ninayokaa ina chumba cha wageni. Karibu
Tieli JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 651 Reaction score 1,516 Jun 18, 2019 #76 Dreka said: Ninapoishi hakuna ila nyumba ninayokaa ina chumba cha wageni. Karibu Click to expand... Haaahaaaa hapo hapana mkuu usije nifungulia thread muda huo huo
Dreka said: Ninapoishi hakuna ila nyumba ninayokaa ina chumba cha wageni. Karibu Click to expand... Haaahaaaa hapo hapana mkuu usije nifungulia thread muda huo huo
shylock JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 796 Reaction score 1,338 Jun 18, 2019 #77 Eeeeh. Huyu kweli anashida ya simu. Mnunulie na wewe. Sanchez magoli said: View attachment 1130611 Click to expand...
Eeeeh. Huyu kweli anashida ya simu. Mnunulie na wewe. Sanchez magoli said: View attachment 1130611 Click to expand...
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Jun 18, 2019 #78 Tieli said: Haaahaaaa hapo hapana mkuu usije nifungulia thread muda huo huo Click to expand... Sinaga huo uswahili mkuu. Kuwa na amani. Karibu sana. Chumba chako kipo reserved
Tieli said: Haaahaaaa hapo hapana mkuu usije nifungulia thread muda huo huo Click to expand... Sinaga huo uswahili mkuu. Kuwa na amani. Karibu sana. Chumba chako kipo reserved
elvee JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,110 Reaction score 1,629 Jun 19, 2019 #79 Tieli said: Kuchinja kuku Click to expand...
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,120 Jun 19, 2019 #80 Hahahha