Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,402
[emoji2] [emoji2]Hilo ziwa lisipo boostiwa si linakuwa kama jamvi...
[emoji2] [emoji2]Hilo ziwa lisipo boostiwa si linakuwa kama jamvi...
Ndo wasanii hawais this allowed in public????? Watu wana guts za kutosha
Shehe hiyo si taarabu ni MIPASHO kama CHAKACHA iliyopigwa uporo.Taarabu ulikuwa muziki wa mwambao wenye mahadhi tulivu na yenye kuburudisha mno ,hata mashairi yake yalibeba mafumbo ya kweli aingia mipasho matusi na kejeli za wazi.
Tangu hapo taarabu ikapoteza maana kabisa kuanzia mashairi mavazi mpaka uimbaji na uchezaji.
siku hizi maonyesho ya taarabu ni sehemu muhimu ya mashoga siku hizi Taarabu ni shortcut ya kuchambana uswahilini
Taarabu imepoteza maana imechuja imechakachuliwa vibaya mno
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji39] [emoji39]View attachment 335283mkuu mshana jr ila taarabu kama hizo huzichukii maana kuna taarabu za aina nyingi
Itakuwa mleta mada mwenyewe Mshana Jr kafanya yake ili post iweze kuchangiwa.nimeipenda hii post ilikuwa imekufa toka 2014 haijachangiwa leo mtu kaifufua aliyeileta anashangaaa
Duu post ya zamani kweli hii
Ulianzisha mwenyewe khalafu unastuka?kiukweli siku hizi kuna kunukishana vikwapa tofauti na waqt ule neno limefichwa vyombo vimetulia siku hizi mziki mwepesi pana kibao cha njoo huwa naburdika sana japo si original version ila chanikumbusha mbaliDuu post ya zamani kweli hii
Hilo totolac ugomvi huo yaani mpaka akichuchumaa au kuinama ndo ngoma inasimama hiyo.
Hahahahaha sio mchezo aisee.Hilo totolac ugomvi huo yaani mpaka akichuchumaa au kuinama ndo ngoma inasimama hiyo.
Sivutiwi kabisa na modern taarab hata wimbo mmoja, taarab ilikuwa enzi za kina Ustadh mukrim,mohammed mrisho, Culture,egpytion musical club,Golden star hapo kwetu tanga,
Mkunwa na mkunaji ni yupi huona tamu...
Kuna jambo natarajii iii..kujua hilo hakika...×2
Zamani raha
Hahhahahaaaa hii fasihi kali sana hapa naona alimaanisha hanithi hadindishi hata anywe mchuzi wa pweza