Hiyo inaitwa blauzi female,safu yao kina kibonde,jihad(Gerard),devil(Diva),bibi twelve(B-twelve),madamme mchovu(Adam mchomvu)n.k,hapo unatarajia nin?let it r.i.p kwani ni uozo mtupu
binafsi jana kipindi cha p/breakfast kiliboa sana eti wanaona ni saawa mshahara wa mmbunge kwa mwezi kuwa 10mil? tena wanadai wao wanafanya kazi nzuri ni kweli kabisa waongezwe, jamani acheni unafiki na upotoshaji, hivi kuliko kimlipa mbunge 10 mil anayekaa na kupiga dmo tu bungeni na kula bata na kuku huku ukimsahau askari anayekesha usiku akimlinda , ama daktari ama mwalim anaye toka povu kwa kubadilisha fikra za watu.
jion kwenye jahazi kibonde ndo aliboa kabisa eti mbona watu wanahoji sana kuhusu ongezeko la mishahara mbona hao watumish wengine hawajahojiwa wao wanapata kiasi gani? tena akaisifia serikali kweli ikiboresha maslah ya mmbunge basi itamuongezea ufanisi mmbunge.
walikwenda zaid wakidai eti mmbunge ana majukumu mengi sana achilia mbali wale wanaokwenda kulia hali mbaya nyumbani kwake so ni vyema wakaongezewa, na wakasahau kuwa hata watumish wakawaida tu wanao watu kama hao wanaokuja kulia shida. Binafsi nafikir Ruge kaambiwa aipigie debe CCM na nahisi hao watangazaji wameahidiwa nafasi za kenye matawi si bure.

Kama wao kweli ni wakweli wayaseme hata maovu yao pia wanayoyafanya ya kupeana mimba na mengine mengi tunayoyajua.Haiwezekana Radio mwanzo mwisho wanasema mambo ya wengine tu na tena wakiegemea upande mmoja.Radio inatakiwa isifungamane na upande wowote pengine iwe imeanzishwa kwa madhumuni hayo lkn huwezi kuiita Radio ya watu halafu mnakuwa Radio ya CCM tunamjua Kibonde ni mpiga debe wa ccm lkn unatakiwa kufanya hivyo huko kwenye majukwa ya siasa na si kwenye Radio ya watu tena mwanzo mwisho wa kipindi unawasikilisha upuuzi wako uso kuwa wewe na faida kwa jamii ya wastarabu wewe ni nani hasa unataka kuwasemea watu ujinga wako.Mbona watu wanajua upuuzi wako unaoufanya lkn tunafanya ustaraabu.JITANGAZENI BASI KAMA NA NYIE NI RADIO CCM
Clouds ni miongoni mwa Radio dhaifu hapa Tz