Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,901
- 11,794
Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro
Lakini nimeitumia for 3 years straight kwa hiyo sijahangaika kuitrack ikabidi ninunue simu ya kujishikiza chapchap lakini on limited budget.
Kuna rafiki yangu alinipa kasimu ka kujishikiza siku mbili tatu ila kalikuwa na uwezo mdogo
So nikafikiria ninunue Google Pixel 7A nitumie kwa muda kisha nitanunua simu nyingine huko mbeleni. Lakini baada ya kutumia hii simu kwa wiki moja na nusu hivi nimefuta mipango ya kununua simu nyingine hivi karibuni
Ile Xiaomi 12T Pro ilikuwa na better chipset, features nyingi kwenye software, slightly better display in my opinion na nilikuwa napenda, kwa matumizi yangu ilikuwa perfect
Lakini nilichogundua ni kwamba haina tofauti kubwa na Pixel 7A kimatumizi. Labda storage ile ilikuwa na 256GB hii ina 128GB.
Google Pixel 7A zilikuwa hazitunzi chaji sana ila baada ya ku update kwenda Android 16 inakaa na chaji kama tu ile Xiaomi yangu.
Nilipanga Pixel 7A iwe simu yangu ya muda mfupi ila kwa kuwa kwa upande wangu nimeona haina kasoro hata moja (kwa matumizi yangu) I think I'll keep using it for long time. It's just as perfect as Xiaomi 12T Pro
Hii nitakuwa makini nisiibiwe na nimekoma kuzurura usiku peke yangu 🙌
Also camera naona hapa kwenye Pixel 7A ni nzuri kidogo kuliko 12T Pro ila tofauti si kubwa sana
Sample photos hizi hapa chini. Hapa ni Mbeya actually
.
.
Hii nimepiga jana saa 2 usiku with night sight off
.
.
Na hii nimepiga baada ya kuweka Night Sight same location
.
Mwisho nawashauri msipende kuzurura sehemu ambayo haina watu peke yake usiku. Mimi huwa nazurura sana usiku na napenda maeneo ambayo hayana watu ila baada ya kupigwa tukio, sijajaribu tena kwenda maeneo yenye ukimya usiku