Nimeibiwa vitu vyangu ubungo terminal

pole sana,katoe taarifa police utafanikiwa.Bado haujachelewa.
kwa polisi yatz sio rahisi kusaidika, na hata vitu vikipatikana hawakupi taarfa.

Mimi yalinilkuta stendi arusha, nikaenda polisi wakasema fomu zimeisha nikatoe fotokopi wakati mtu nimeibiwa kila kitu!! Hadi leo polisi hawana taarifa na mie vitu nililetewa na msamaria mwema baada ya kukuta vimetupwa maeneo ya sakina kwenye jalala lake akapiga simu namba zilikuwa kwenye walleti yangu hadi wakanipata.

Muombe Mungu unaweza pata baadhi ya vitu.
 
Pole sana mkuu!mi mwenyew walinibia bag ya mgongoni ya laptop nilkuwa nimeweka nguo na vtu vngne wakidhan ni laptop,naskia wezi ni wanaw
ake,wanaiba sana mabag ya laptop!pia naskia wakiiba huwa wanaenda kule mwisho wa stand kufngulia hayo mabag,bado naendelea na uchunguz iko cku tutawakamata!
umenifumbua macho, inawezekana sana kwasababu na mimi nilipo ingia niliwakuta wanawake watupu na dereva akiwa anapiga honi.
 
pole sana, lakini wewe ni mmoja tu kati ya mia wanaoibiwa.!
 
Pole sana mkuu, Dar wezi wapo advanced sana, let me share this, imenitokea tu jana ingawa cjaumizwa sana, nilikwenda kituo cha mafuta cha camel (kipya) maeneo ya Tabata sanene, nilipofika wakaja wahudumu wawili, mmoja akaenda kwenye pump kujaza mafuta, mmoja akaja dirishani kuchukua pesa na kuniuliza ya sh. ngapi? nilipompa pesa hakuondoka akaanza maswali (si kawaida) eti samahani kaka iyo simu yako ni touch au? aliiona pale ndani, nikajibu, akatupia swali tena ni samsung? zinauzwaje (dah, mara nikastuliwa na sauti ya yule wa pili, akiuliza, amesema ya elfu 30? . nikageuka kuangalia tayari ishasoma elfu 30 lt 15. akawa sasa anafunga mfuniko...(sikustuka sana) wee, nilitoka pale kupitia njia ya kinyerezi nikielekea mbezi kwa msuguri ile nakaribia tu mbezi mwisho taa ya mafuta ikawaka (Nikajua nimeibiwa).

Mjini hapa ni kuwa makini kila wakati

pole sana ila umenifurahisha nimecheka mpaka basi.!
 
Unajua ni miaka mingi sijasafiri na public transpots, sikuwa na concentration ya kihivyo na ndio maana nikaibiwa.nashukuru sana kwa ushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom