Nimeibiwa vitu vyangu ubungo terminal

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,008
2,000
Jamani wana jamvi habari za leo!
Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Mtwara,nilipofika pale terminal kuna kijana akaja kunielekeza mahali lilipo basi nililo kuwa nasafiri nalo kuja Mtwara.nafikiri hakuwa kijana mwema kwani nahisi ndiye aliye nifanyia timing na kuniibia bag langu moja lililo kuwa na vitu vingi sana.kwenye lile bag kulikuwa na 1.LAPTOP 2.DOCUMENT ORIGINAL ZA GARI 3.FUNGUO ZA GARI MBILI 4.MODEMS MBILI YA ZANTEL NA AIRTEL 5.VYETI VYA SHULE ORIGINAL KUTOKA MOSHI SEC 6.SURUALI MOJA 7.SET YA SPANER MPYA 8.CABLE YA LAPTOP 9.KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA.
NB
Kwa yeyote atakaye pata taarifa ya kuonekana kwa vitu hivi naomba anipe taarifa.JERUSALEMU.
 
Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
8,599
2,000
Mkuu@Jerusalem, pale Ubungo kipindi cha asubuhi kuna msongamano mkubwa sana wa watu,kama ujuavyo kama mabasi mengi yaendayo mikoa ya mbali na nchi jirani,huondoka saa kumi na mbili asubuhi.

Wakati huo watu wengi huwa busy kutafuta mabasi wanayosafiri nayo,kuna vijana pale kazi yao ndio hiyo kuangalia watu wanaoshangaa na kujifanya wanakusaidia mzigo, halafu ukijisahau wanatokomea! Next time umakini unahitajika!
 
special agent

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
325
0
pole sana mkuu siku nyingine ukiwa unasafiri usipende ubosi mimi huwa navaa mabegi yangu yote so nunua mabegi yakuvaa na si kuvuta hata kama ni kubwa vip hope you understand
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,069
2,000
Pole sana mkuu, Dar wezi wapo advanced sana, let me share this, imenitokea tu jana ingawa cjaumizwa sana, nilikwenda kituo cha mafuta cha camel (kipya) maeneo ya Tabata sanene, nilipofika wakaja wahudumu wawili, mmoja akaenda kwenye pump kujaza mafuta, mmoja akaja dirishani kuchukua pesa na kuniuliza ya sh. ngapi? nilipompa pesa hakuondoka akaanza maswali (si kawaida) eti samahani kaka iyo simu yako ni touch au? aliiona pale ndani, nikajibu, akatupia swali tena ni samsung? zinauzwaje (dah, mara nikastuliwa na sauti ya yule wa pili, akiuliza, amesema ya elfu 30? . nikageuka kuangalia tayari ishasoma elfu 30 lt 15. akawa sasa anafunga mfuniko...(sikustuka sana) wee, nilitoka pale kupitia njia ya kinyerezi nikielekea mbezi kwa msuguri ile nakaribia tu mbezi mwisho taa ya mafuta ikawaka (Nikajua nimeibiwa).

Mjini hapa ni kuwa makini kila wakati
 
mdoe the thinker

Senior Member
Dec 11, 2012
104
0
Jamani wana jamvi habari za leo!
Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Mtwara,nilipofika pale terminal kuna kijana akaja kunielekeza mahali lilipo basi nililo kuwa nasafiri nalo kuja Mtwara.nafikiri hakuwa kijana mwema kwani nahisi ndiye aliye nifanyia timing na kuniibia bag langu moja lililo kuwa na vitu vingi sana.kwenye lile bag kulikuwa na 1.LAPTOP 2.DOCUMENT ORIGINAL ZA GARI 3.FUNGUO ZA GARI MBILI 4.MODEMS MBILI YA ZANTEL NA AIRTEL 5.VYETI VYA SHULE ORIGINAL KUTOKA MOSHI SEC 6.SURUALI MOJA 7.SET YA SPANER MPYA 8.CABLE YA LAPTOP 9.KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA.
NB
Kwa yeyote atakaye pata taarifa ya kuonekana kwa vitu hivi naomba anipe taarifa.JERUSALEMU.
Pole sana mkuu!mi mwenyew walinibia bag ya mgongoni ya laptop nilkuwa nimeweka nguo na vtu vngne wakidhan ni laptop,naskia wezi ni wanaw
ake,wanaiba sana mabag ya laptop!pia naskia wakiiba huwa wanaenda kule mwisho wa stand kufngulia hayo mabag,bado naendelea na uchunguz iko cku tutawakamata!
 
JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,891
2,000
Wezi wa pale ubungo terminal ni wale ulinzi shirikishi, kila kitu kikiibiwa hupelekwa kwao kwa taratibu nyingine za kugawana, muone kamanda kamota atakusaidia!
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,216
2,000
Haujaeleza jinsi begi lilivyopotea; Je, ulimpa akusaidie kubeba, uliliacha pembeni kidogo, ulimpa apakize kwenye bus? Ningeweza kushare solution na wewe kama ungeweka bayana mazingira ya kupotea kwa bag lako, lakini hapa sana sana naona umesema alikuelekeza gari lako!
 
MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,297
2,000
Pole sana mkuu, Dar wezi wapo advanced sana, let me share this, imenitokea tu jana ingawa cjaumizwa sana, nilikwenda kituo cha mafuta cha camel (kipya) maeneo ya Tabata sanene, nilipofika wakaja wahudumu wawili, mmoja akaenda kwenye pump kujaza mafuta, mmoja akaja dirishani kuchukua pesa na kuniuliza ya sh. ngapi? nilipompa pesa hakuondoka akaanza maswali (si kawaida) eti samahani kaka iyo simu yako ni touch au? aliiona pale ndani, nikajibu, akatupia swali tena ni samsung? zinauzwaje (dah, mara nikastuliwa na sauti ya yule wa pili, akiuliza, amesema ya elfu 30? . nikageuka kuangalia tayari ishasoma elfu 30 lt 15. akawa sasa anafunga mfuniko...(sikustuka sana) wee, nilitoka pale kupitia njia ya kinyerezi nikielekea mbezi kwa msuguri ile nakaribia tu mbezi mwisho taa ya mafuta ikawaka (Nikajua nimeibiwa).

Mjini hapa ni kuwa makini kila wakati

Mkuu wengi wenye mchezo huo ni madada huwa wanajidai na vimaswali vya kizushi tu !
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,036
2,000
Pole sana mkuu! Nadhani vitambulisho na documents zako hazitokuwa zimeandikwa JERUSALEMU hivyo basi ungetaja jina ili atakayeona akupm.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,870
2,000
Pole sana mkuu, Dar wezi wapo advanced sana, let me share this, imenitokea tu jana ingawa cjaumizwa sana, nilikwenda kituo cha mafuta cha camel (kipya) maeneo ya Tabata sanene, nilipofika wakaja wahudumu wawili, mmoja akaenda kwenye pump kujaza mafuta, mmoja akaja dirishani kuchukua pesa na kuniuliza ya sh. ngapi? nilipompa pesa hakuondoka akaanza maswali (si kawaida) eti samahani kaka iyo simu yako ni touch au? aliiona pale ndani, nikajibu, akatupia swali tena ni samsung? zinauzwaje (dah, mara nikastuliwa na sauti ya yule wa pili, akiuliza, amesema ya elfu 30? . nikageuka kuangalia tayari ishasoma elfu 30 lt 15. akawa sasa anafunga mfuniko...(sikustuka sana) wee, nilitoka pale kupitia njia ya kinyerezi nikielekea mbezi kwa msuguri ile nakaribia tu mbezi mwisho taa ya mafuta ikawaka (Nikajua nimeibiwa).

Mjini hapa ni kuwa makini kila wakati
Sasa mkuu unapopatwa na mkasa kama huu fuatilia. Kulalamika tu hakutaondoa tatizo. Wewe unapoibiwa ukifuatilia, wengine nao wakifanya hivyo hivyo mwisho wezi wataogopa
 
CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
314
195
Jamani wana jamvi habari za leo!
Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Mtwara,nilipofika pale terminal kuna kijana akaja kunielekeza mahali lilipo basi nililo kuwa nasafiri nalo kuja Mtwara.nafikiri hakuwa kijana mwema kwani nahisi ndiye aliye nifanyia timing na kuniibia bag langu moja lililo kuwa na vitu vingi sana.kwenye lile bag kulikuwa na 1.LAPTOP 2.DOCUMENT ORIGINAL ZA GARI 3.FUNGUO ZA GARI MBILI 4.MODEMS MBILI YA ZANTEL NA AIRTEL 5.VYETI VYA SHULE ORIGINAL KUTOKA MOSHI SEC 6.SURUALI MOJA 7.SET YA SPANER MPYA 8.CABLE YA LAPTOP 9.KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA.
NB

Kwa yeyote atakaye pata taarifa ya kuonekana kwa vitu hivi naomba anipe taarifa.JERUSALEMU.

Pole kiongozi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom