Ni kweli nishaanza kukata tamaa, maana hakuna dalili za mafanikio.Kama hukuwapatia police 100k sina hakika kama ndio sheria ila ndio mfumo elekezi
Usitarajie majibu yeyote, haipo kama unavyofikiri.
Unaweza kupata vitu vyako endapo utajiongeza, vinginevyo mwachie mungu
Walihitaji vielelezo vya mali zilizopotea na nikawapatia copy zake wakaniambia kuwa wanafanya upelelezi, mpaka leo sijapata jibu lolote wala update yoyote
Kama hukuwapatia police 100k sina hakika kama ndio sheria ila ndio mfumo elekezi
Usitarajie majibu yeyote, haipo kama unavyofikiri.
Unaweza kupata vitu vyako endapo utajiongeza, vinginevyo mwachie mungu
Asante kwa ushauri, nilipewa mpelelezi nikaonana nae nikampa vielelezo!this tz is corrupted
hawawez kukusaidia bila hela ya chai.
fatilia hio kesi hakikisha unapewa mpelelez. Yeye atakachokusaidia ni kupiga simu kweny mitandao yote ya simu kuulizia namba inayotumia hyo imei. kama simu haijaflashiwa na mtu alichomeka lain yake ni lazma ajulikane ndo inafata hatua hii ya kumkamata.
alaf ukipeleka kes police. report vzur, kama umeandika kes ya taarifa usitegemee upelelez. kes ya madai ndo inaupelelezi
Nimeelewa unachomaanisha ndugu. simu zote ni original ndio maana nahangaika nazo kwani moja ni Samsung Tablet 3 na nyingne ni Nokia XL lakn najua kupatikana kwa hizo simu kutafanikisha kupatikana kwa TV yangu LG ambayo ilikuwa flat screenYaani mpaka hapo hujaelewa nini sasa,bado kuna kitu kimoja unaambiwa hujakamilisha ndio maana usipoangalia hutazipata hizo simu zako,au ni fek, zilifungiwa wewe uka unlock IMEI yako ndio maana wanashindwa kuzipata?
kama samsungNimeelewa unachomaanisha ndugu. simu zote ni original ndio maana nahangaika nazo kwani moja ni Samsung Tablet 3 na nyingne ni Nokia XL lakn najua kupatikana kwa hizo simu kutafanikisha kupatikana kwa TV yangu LG ambayo ilikuwa flat screen
Asante sana!kama samsung
ingia kwenye site ya "find my mobile" ya samsung. ingiza email.
utajua location ya simu
simu zilizopigwa na kupokelewa
utaweza kulock simu
kufuta vitu vyako vyote
hata kuipiga simu ikaita pindi utakapokua kweny hyo location ili kumbain anayetumia hyo simu