Nimeibiwa simu yangu techno k8

Nimeibiwa simu yangu techno k8

Kila mt anakula kwa jasho muache jamaa apate hela
 
Mpaka hapo mwizi hana kosa...

Kosa unalo wewe kutokuweka nywila kwenye simu yako...

Ngoja aanze kurusha zile picha zake zileeee...

Cc: mahondaw
 
Hivi ndugu zangu ni njia gani naweza kuitrack na kuipata Ila sikuiweka pass word na siifahamu imei namba
Msaada tafadhali
pale polisi kuna menu
kila kesi unayopeleka ubebe na uzito na thamani ya kito.
ukipeleka kesi ya shilingi utasaidiwa lile likaratasi upeleleze peke yako
 
umepoteza simu au chombo cha mawasiliano????tecno sio simu bali ni chombo cha mawasiliano..😛😛
 
Hivi ndugu zangu ni njia gani naweza kuitrack na kuipata Ila sikuiweka pass word na siifahamu imei namba
Msaada tafadhali
Mwanzo ungefanya hiviView attachment 790111
IMG-20180525-WA0001.jpg
View attachment 790113
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
That's all....kwa nchi yetu ukizingatia haya maneno utapata faida zaidi!ila pole sana mkuu cha kufanya dunduliza dunduliza tu ununue nyengine.
Screenshot_20180530-211922.jpg
 
Hivi ndugu zangu ni njia gani naweza kuitrack na kuipata Ila sikuiweka pass word na siifahamu imei namba
Msaada tafadhali
Pole..
Hakuna namna hasa kama hujui imei yake kwa sababu imei ndo pekee ingeweza kuitrack simu na kujua ilipo
 
Hapana mkuu kna app inaitwa find Device ile iko pwa sana cha kufnya hapo atafute smart nyngne apakue hyo aplication halaf ataingiza imail yke na pasword baada ya hapo itamletea smart zote ambazo zna imail yke na wakat huohuo itamuonyesha mahal hzo sm zipo na akitaka imei yke atatouch tu hlo jina la hyo sm ilyopotea itamlete imei na wakat huohuo inakuambia kuwa iko sehem gan na pia unaweza kufata had karbu kwa kufata raman inapokuwa imekuonyesha kadr unavyosogea ndivyo inazd kukuonyesha na ikiwa umesogea kabsa bas utabonyeza alam yy kule sm itaanza kuita kama amepigiwa vile ina maanxha ww utakuwa unamcheza wap inaita
 
Hiyo option inapatikana wapi?

Ukiingia tu kwenye account yako ya Gmail then kama unatumia simu unaweza kuset desktop view ipo chini kabisa utaziona options zote za gmail kwenye dashboard utaingia kwenye option ya my account then utashuka chini kuna option ya find your phone.
 
Hapana mkuu kna app inaitwa find Device ile iko pwa sana cha kufnya hapo atafute smart nyngne apakue hyo aplication halaf ataingiza imail yke na pasword baada ya hapo itamletea smart zote ambazo zna imail yke na wakat huohuo itamuonyesha mahal hzo sm zipo na akitaka imei yke atatouch tu hlo jina la hyo sm ilyopotea itamlete imei na wakat huohuo inakuambia kuwa iko sehem gan na pia unaweza kufata had karbu kwa kufata raman inapokuwa imekuonyesha kadr unavyosogea ndivyo inazd kukuonyesha na ikiwa umesogea kabsa bas utabonyeza alam yy kule sm itaanza kuita kama amepigiwa vile ina maanxha ww utakuwa unamcheza wap inaita
Hiyo zaman kidgo..saiz google hawaonyeshi imei yako..ile option haipo tena..

Kingine hata ingeukepo..lazma location kweny sim iliyo ibiw iwe on ili kuweza kui track..sasa kama jamaa hakuwasha location basi huwez iona...na pia inatakiwa sim iwe data on ili uione...sasa hizi conditions zote kutimia ni ndoto..jamaa naunue sim mpya tu
 
Hapana mkuu kna app inaitwa find Device ile iko pwa sana cha kufnya hapo atafute smart nyngne apakue hyo aplication halaf ataingiza imail yke na pasword baada ya hapo itamletea smart zote ambazo zna imail yke na wakat huohuo itamuonyesha mahal hzo sm zipo na akitaka imei yke atatouch tu hlo jina la hyo sm ilyopotea itamlete imei na wakat huohuo inakuambia kuwa iko sehem gan na pia unaweza kufata had karbu kwa kufata raman inapokuwa imekuonyesha kadr unavyosogea ndivyo inazd kukuonyesha na ikiwa umesogea kabsa bas utabonyeza alam yy kule sm itaanza kuita kama amepigiwa vile ina maanxha ww utakuwa unamcheza wap inaita
Anhaa sawa
 
Ni simple mkuu ingia kwenye account yako ya google uliyo kuwa unatumia kwenye simu iliyo potea kuna option ya kuchek device utaiona Tecno yako ipo na imei chukua imei peleka polisi kafungue kesi then utapewa mpelelezi wa kuisimamia kesi yako ambae atashirikiana na mtandao ambao ulikuwa unautumia kama ni voda au mwingine...hapo wakicheki imei watakuta inatumika na laini nyingine mtamkamata kama kuku mwizi wako.
shukrani mkuu
 
Big up mkuu!
Watu wanategemea kupata msaada hapa, hasa tukizingatia kuwa uwanja huu umejaa watu wajuzi wa kila fani, matokeo yake….majibu ya kejeri kibao!
jamii forum siku hizi imejaa watoto
 
Back
Top Bottom