Hapana mkuu kna app inaitwa find Device ile iko pwa sana cha kufnya hapo atafute smart nyngne apakue hyo aplication halaf ataingiza imail yke na pasword baada ya hapo itamletea smart zote ambazo zna imail yke na wakat huohuo itamuonyesha mahal hzo sm zipo na akitaka imei yke atatouch tu hlo jina la hyo sm ilyopotea itamlete imei na wakat huohuo inakuambia kuwa iko sehem gan na pia unaweza kufata had karbu kwa kufata raman inapokuwa imekuonyesha kadr unavyosogea ndivyo inazd kukuonyesha na ikiwa umesogea kabsa bas utabonyeza alam yy kule sm itaanza kuita kama amepigiwa vile ina maanxha ww utakuwa unamcheza wap inaita