Nimeibiwa simu, nifanyeje kuifunga?

Nimeibiwa simu, nifanyeje kuifunga?

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,907
Reaction score
1,079
Wakuu nimeibiwa kasimu kangu ka kupangusa aina ya huawei.
Nifanyeje ili kafungwe kasitumike tena kabisa au nikapate?
Ninazo imei namba zake.
Msaada please
 
https://www.google.com/android/devicemanager
fanya kupitia hapo kwanza halafu uone utaambiwa nini kwa sasa.
Maana kuna option ya kuifanya itoe mlio,kulock, au kuformat. Kwa inshu yako fanya haraka haraka kaba haijawa wiped {hard reset} yawezekana ukambulia chochote kama aliyeiiba hajafanya lolote mpaka sasa.
Kila la kheri.
 
Narudia tena. Ukipigwa cm fanya utaratibu ununue nyingine. Unapoifungia ili iweje? Mkose wote siyo!?.

We nunua nyingine bhana acha roho mbaya.
Huyu jamaa yupo kama Le Profeseli Lipumba kukosa uenyekiti wa chama anataka na chama kifungiwe.Bora ununue simu nyingine tu ili kuacha hizo roho mbaya za visasi.
 
Bongo kila kitu bado ukiibiwa hapa mjini Fanya kama umetoa sadaka usiroge au kuifatilia maana utazid kupoteza muda na fedha zako
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wengine humu ni wapumbavu, mtu ana shida yake anakuja humu kuomba msaada badala ya kumsaidia wanaanza kumkejeli..

THANKS. NASHANGAA WENGINE WANASHANGILIA WAKATI MWENZAO NIMEIBIWA.
LAKINI NADHANI HII INAFANYA KAZI KAMA NILIKUWA NIME INSTALL HII KITU.
 
Back
Top Bottom