Nimeibiwa simu nataka kuitrack

Nimeibiwa simu nataka kuitrack

kingi mweuc

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
266
Reaction score
73
Habari wanajamvi kama head inavyoeleza hapo juu ni kama week moja imepita nimeibiwa simu yangu ya Tecno camon 12 air ndani ya gari so nilikua naomba msaada namna ya kuitrack ili niweze kumkamata coz RB ya police ninayo na wamenipa na namba zao wamesema nimtrack nikimpata niwapigie waje kumkamata kwa hivyo ndugu zangu naombeni mnisaidi ni website gani naweza kutrack simu detail zote ninazo imei namba na google account natanguliza shukrani
 
Si ujifunze kuroga tu mbona Unataka complication sana.. polisi,kutrack,kukamata ukute nae kaiuza polisi utoe hela!.. hebu chonga na mizimu ikuletee simu yako..😅
 
Si ujifunze kuroga tu mbona Unataka complication sana.. polisi,kutrack,kukamata ukute nae kaiuza polisi utoe hela!.. hebu chonga na mizimu ikuletee simu yako..
mkuu skuizi hadi kuroga uwe na connection ingekua simpo kila mtu angekua kashapata ajira
 
Hao polisi hawajataka tu kufanya kazi, yaani una IMEI namba na kila kitu lakini wanakwambia ukimpata waje wamkamate, ***** walai polisi.
Polisi wakutrack niliongea nae jana ila hata haeleweki alafu ujue siamini sana polisi maana anaweza kuitrack akaipata ikawa yake asikwambie
 
Polisi wakutrack niliongea nae jana ila hata haeleweki alafu ujue siamini sana polisi maana anaweza kuitrack akaipata ikawa yake asikwambie
Police wa cyber watafanya kazi yako sema sasa lazima umpooze
 
Police wa cyber watafanya kazi yako sema sasa lazima umpooze
Kuhusu malipo sio swala maana hata km saivi sina hela ila nikishaipata simu naweza kumuuzia yeye huyo aloiiba then tukagawana hela na polisi ila tatizo police kuna complication nyingi ndio maana nataka nifanye mwenyewe
 
Mwenyew huwez mkuu...unahitaj cyber wao ndo wana connection...kama huna hela ya kuwapa hao mamwela basi simu yako samehe tu
 
Tecno huwezi ipata never labda anaeitumia awe zoba tu.
 
Mwenyew huwez mkuu...unahitaj cyber wao ndo wana connection...kama huna hela ya kuwapa hao mamwela basi simu yako samehe tu
Wapo IT wanaweza hio kazi chief kumbuka hii ni technology watu wana hack mtandao mzima itakua kutrack simu wasomi tunao mzee
 
Wapo IT wanaweza hio kazi chief kumbuka hii ni technology watu wana hack mtandao mzima itakua kutrack simu wasomi tunao mzee
Haya mkuu kila lakher...unafkiri ku track simu kwa imei ni kama ku hack google account sio
 
Hawezi ipata kama tecno banah! Tecno zinakufa tofauti na samsung
Anaipata vizur tu...ilimradi imei awe nayo..shida ya Tecno..ni rahis kibadikishwa imei...na hapo ndo kipengele..kama imei wakichange ndio basi tena
 
Anaipata vizur tu...ilimradi imei awe nayo..shida ya Tecno..ni rahis kibadikishwa imei...na hapo ndo kipengele..kama imei wakichange ndio basi tena
Kumbe unajua! Alafu unasema anaipata vizuri tu!
 
Nenda Nigeria mkuu, huyo tecno ni maarufu sana kama young killer wa bongo.

Simu huipati hata kwa dawa. Raia walishabadili IMEI muda kitambo sana.
 
Kumbe unajua! Alafu unasema anaipata vizuri tu!
Nimekupinga ulivyosema haipaiti bila kusema kwamba labda isibadilishwe imei.. imagine hawajachange imei..kwann isipatikane
 
Back
Top Bottom