LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
sawa mkuu;ila naomba kuuliza hukokwenu kuna kituo gani cha polisi ambacho kinatoa huduma yaku block simu?
Katavi kwani huko sumbawanga mchina hajatia timu?
simu aina ya itel
Jamani nimeibiwa simu, naomba msaada kama kuna namna ya kublock line na simu. Naomba jamani.
Mchina katia timu lakini simu ya namna hiyo sijaiona....
Mwachie mwenzio naye awasiliane bana
download android device manager kwenye PC halafu remotely Iwipe aspate data au kama bado una usongo jaribu kuitrack location yake. ila kama kashaiformat sahau