Nimeibiwa simu mida hii, Msaada wa haraka tafadhali

Nimeibiwa simu mida hii, Msaada wa haraka tafadhali

MOLAM Mkuu bado haujafunguka......kwangu Mi naona umekuja na mapungufu ya kujieleza!
Hizi simu aina ya Itel sidhani kama inaweza blockika.
Ila wewe nenda kituo cha polisi iliyokaribu nawe na bila shaka itakuwa rahisi kwako kupata msaada kwa yeyote atakaye tumia simu ile kwenye laini yake baada ya kuitupa ile ya kwako baada ya kupatikana PRINT OUT ya mtandao anaoutumia!

Pole sana Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
mmmh kama inapicha zetu zile kesho ntaziona blogspot.....pole sana mkuu hebu toa maelezo ya kutosha kila aina ya simu ina namna ya kublock na hazifanani
 
So sad...especially the names and numbers that you have lost.
 
nenda kwa sangoma atakuonesha sura ya mwizi kupitia tv ya asili
 
Mchina katia timu lakini simu ya namna hiyo sijaiona....

Umeziona sana ila uja pay attention. Hakuna duka la simu za kichina isiyo na simu za itel ni nyingi kama techno na watu wengi wanazo.
 
ninachoona hapa kinachopiganiwa sio simu bali ni vilivyomo ndani ya simu especially mambo yetu yaleee...check out UWAZI
 
download android device manager kwenye PC halafu remotely Iwipe aspate data au kama bado una usongo jaribu kuitrack location yake. ila kama kashaiformat sahau

Mkuu hata kwa galaxy s3,4,note zikisha formatiwa uwezekano wa kuitrack/locate haiwezekani?
 
Back
Top Bottom