Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

Mifugo yangu yote nimeizindika na atakaye iba tu analo, pia atakayekula nyama yake analo, mwendo wa kikamanda tu, sitaki loss.
-Sifugii wezi kbbk
-Sisi wafugaji hatatukifika vingunguti tukiangalia ngombe tunajui, ogopa kula ngombe mkorofi yule anayekimbia ovyo!
 
Pole sana.
Kuna haja ya kuwa na intellijensia kijiji kizima ukiwa unatoa tips kwa watu influential inasaidiaga kupata taarifa kabla au baada ya tukio. Wezi hata kama watatoka mbali lazima kuna mchora mchongo jirani.

Ushauri: Boresha usalama anza upya, hakuna kurudi nyuma.
 
Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili kmmk
Panda basi mpaka Sumbawanga. Ukifika panda Costa hadi Namanyere, ukifika uliza mtaa wa Nkomolo kwa Mzeee Mwanawima. Hapo utakua tayari una zana za Watesi wako Wachape Radi ya Afu tatu tuuu ya kubomoa nyumba zao na mali zao. Wataaanza kukutafuta wenyewe kulipa Ng'ombe wako
 
Sasa hako si kadawa kadogo sana, akikibinua kinu akakiweka mlangoni radi hazimpati ngo!
 
Back
Top Bottom