Nimeibiwa na 'pisi kali'

ni kweli ila sio rahisi sana,hesabu ya wanaobakwa kwa siku n kubwa kuliko wanaoenda jela 30 yrs,PESA INAONGEA KULIKO MDOMO ila sio vimillion 1 au 2,iwe PESA kweli kweli na ujue kuitafuta.

Sawa mkuu. Ila kupona kesi ya ubakaji ni 20% ila 80% unaweza fungwa hivi hivi ukiona unapigwa mvua ya miaka 30. Sio rahisi kiivyo kuchomoka kwenye kesi mkuu niamini mimi, unaweza ukawa na pesa na ukashindwa kuitoa iyo rushwa.
 

Haya mkuu msogeze mwamba karibu na gereza.
 
ROHO MBAYA [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji41][emoji51]
 
Alipigwa cha shingo yaaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alipigwa cha shingo yaaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ukiiona huwezi jua ni jizi maana ana boutique na ana mingle na wabunge. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Qhumamae, ulikuwaga askari wa kubambikizia kesi nchini kwa mwenda zake?
 
Aki
Akija demu ghetoo..
Nikitoka nje huwa nafunga mlango kisirisiri..

SIJAWAHI KUMWAMINI BINADAMU YOYOTEE NDANI YA DUNIA HII.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…