Nimeibiwa Laptop

Nimeibiwa Laptop

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
Ni DELL Latitude D630, imeibwa Mabibo Hostel, jana majira ya saa 1:30 usiku. Taarifa ya upotevu ipo Kituo cha Polisi wasaidizi Mabibo Hostel. Yeyote atakayepata taarifa zake tusisite kupeana taarifa... Au nipandie hewani moja kwa moja@0713049852.
 
Kwani umeipoteza humu JF! Kazi kweli kweli..
 
Sijaipoteza humu, ni Mabibo Hostel, Jengo C, chumba na. 143....
 
okay.... nikiiona ntakutaarifu---wish u mafanikio utaipata
 
okay.... nikiiona ntakutaarifu---wish u mafanikio utaipata

Ahsante kaka, neno lako lipate kutimia inshallah... Maelezo ya ziada ni kuwa kwenye kona za motherbody yake nilikuwa nimebandika plaster(kuregulate ile shoti). Alama mojawapo itakuwa alama za plaster zilizobanduliwa kwenye corner za body!
 
Njoo kwenye maombia Utafanikiwa njoo kwa Kakobe mda huu niulizie

Nashukuru mchungaji, nipo karibu sana na hapo. Ila kuna presentation namalizia hapa chuo. Mungu akutie nguvu katika hili!
 
Mkuu umeshikwa umetoa na namba ya kilonga??je unapatikana wapi nikiipata??ofisi yako ikowapi??Jina kamili??ila nakushauri Wewe tafuta peas yakununu nyingine chukulia kama umeibiwa simu haziridi zikishachukuliwa mimi yakwangu niliibiwa hotelini Dodoma hadi waleo kimyaaaaa!!!
 
Ni DELL Latitude D630, imeibwa Mabibo Hostel, jana majira ya saa 1:30 usiku. Taarifa ya upotevu ipo Kituo cha Polisi wasaidizi Mabibo Hostel. Yeyote atakayepata taarifa zake tusisite kupeana taarifa... Au nipandie hewani moja kwa moja@0713049852.

Tangaza dau nikuletee fasta.
 
Pole mkuu! Hiyo brand ya dell ni imara sana. Ninayo kwa miaka mingi bila matatizo
 
pole mkuu...ningekuwa bongo ningekupa moja utumie!
 
Mkuu umeshikwa umetoa na namba ya kilonga??je unapatikana wapi nikiipata??ofisi yako ikowapi??Jina kamili??ila nakushauri Wewe tafuta peas yakununu nyingine chukulia kama umeibiwa simu haziridi zikishachukuliwa mimi yakwangu niliibiwa hotelini Dodoma hadi waleo kimyaaaaa!!!

Mwanafunzi UDSM, yakitokea majaliwa tutatafutana iwe kwa PM au namba zangu hapo juu.
 
Pole mkuu! Hiyo brand ya dell ni imara sana. Ninayo kwa miaka mingi bila matatizo

Imara kweli kaka, kitu kilikuwa mtumba lakini chaji mpaka masaa matatu mazee...
 
Back
Top Bottom