nimeibiwa fekon t228cky

nimeibiwa fekon t228cky

Siku za ajabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,369
Reaction score
987
siku ya tarehe 14/1/2014 nimeibiwa fekon pikpk yenye namba t 228cky maeneo ya kwa aziz ally karib na mtongani msaada wenu ktk kuitafta nambayangu 0717215506
 

Attachments

  • 2014-01-12 11.57.36.jpg
    2014-01-12 11.57.36.jpg
    359.1 KB · Views: 305
Ebuu rekebisha kidogo mkuu umeibiwa au utaibiwa maana kwenye tarehe ni tataizo
 
nimerekebishA mkuu, pia naomba kama kuna yoyote anafanya kazi airtel kuna mtu nahis amehusika maana nakaa naye nataka kujua mwenendo wake wa cmu kuanzia cku ya tukio.
 
Duh! Pole sana Mkuu!
Mwenyewe wamenizingua!
Kudadadeki zao! Yaani nnahasira nao hadi basi! Leo saa tisa za usiku wameikunywa laptop yangu!
Wasiombee niwakute wameshikwa na raia, pahali popote, saa yoyote! Nadhani hasira zangu nitazimalizia hapo! pambaf sao hawa! Kama hawana kazi si wakapakatwe!!!
 
kaka kwa zilivyo nyingi na zinavyofanana mtafute kijana aliyebadilika kimaisha hizi siku mbili. mtu wa viroba aliyehamia bia na kuku na totoz ndie huyo huyo otherwise watishie wote mtaani kwamba utakwenda Tanga kumroga. it works kwani wa tz wengi wanaamini sana magic
 
kuna ndugu humu anaweza nisaidia mfanyakazi wa airtel anisaidie jambo
 
mbona inaonyesha bado hujafanya transfer,bado mmiliki ni mwenye duka uliyenunua?
 
Pole sana. Hata masikini kwa masikini huibiana? Pengine washaifanyia boda boda hiyo.
 
nimerekebishA mkuu, pia naomba kama kuna yoyote anafanya kazi airtel kuna mtu nahis amehusika maana nakaa naye nataka kujua mwenendo wake wa cmu kuanzia cku ya tukio.

kujua mawasilianao ya mtu mpaka uwe na kibali maalumu cha kutoka mahakamani au mwanasheria kwa ajili ya ushahidi tu!!
 
dah pole ndugu ..maisha magumu ciku hizi hata wezi wanamajukumu tofaut na zamani wez walikuwa mabachela80%..hasa kwetu kuna wakabaji wanawatumia wanawake kupora pikipiki ilimradi tuu watoto waende shule na chooni pia.
 
pole sana umejaribu kuwafuata polisi wakakupa msaada zaidi maana naona hao watakusaidia zaidi best
siku ya tarehe 14/1/2014 nimeibiwa fekon pikpk yenye namba t 228cky maeneo ya kwa aziz ally karib na mtongani msaada wenu ktk kuitafta nambayangu 0717215506
 
Back
Top Bottom