Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 987
Pole sana
Watakuwa mbwa mwitu hao.
Ebuu rekebisha kidogo mkuu umeibiwa au utaibiwa maana kwenye tarehe ni tataizo
wewe boya kweli hujui leo ni tarehe ngapi mkuu au viroba hivyo..
Sema tukusaidiaje.kuna ndugu humu anaweza nisaidia mfanyakazi wa airtel anisaidie jambo
nimerekebishA mkuu, pia naomba kama kuna yoyote anafanya kazi airtel kuna mtu nahis amehusika maana nakaa naye nataka kujua mwenendo wake wa cmu kuanzia cku ya tukio.
siku ya tarehe 14/1/2014 nimeibiwa fekon pikpk yenye namba t 228cky maeneo ya kwa aziz ally karib na mtongani msaada wenu ktk kuitafta nambayangu 0717215506