Wapigie tigo ndo Wana record ya pesa yako ipo wapi, sisi tutajuaje sasaNimejaribu mara kadhaa napo imekataa
We nawe ni mpumbavu tuBado unatumiwa pesa na baba yako au ni mzee Sugar daddy? Na uko JF?
Itakuwa ulitumiwa message tu, siyo pesa!Jana nilitumiwa pesa kiasi cha sh 330000 na mzee wangu kwa namba ya tigo, sasa nilijaribu mara kadhaa kuituma kwa namba yangu ya MTN Uganda ila ilikataa na kusema muamala umesitishwa kwamba Sina Salio la kutosha.
Ni swali mbona povu?Nijue pesa za nini wakati wewe ndio umetumiwa?Ungetaka tusiulize usingepost hapa.Punguza hasira .Hii inaonyesha ni jinsi gani JF imevamiwa na watu wapumbavu kama wewe,, unajua hizo pesa ni za nini ?
Umetumiwa kwa msg nenda kwa wakalaHabari wakuu
Jana nilitumiwa pesa kiasi cha sh 330000 na mzee wangu kwa namba ya tigo, sasa nilijaribu mara kadhaa kuituma kwa namba yangu ya MTN Uganda ila ilikataa na kusema muamala umesitishwa kwamba Sina Salio la kutosha.
Nakuja kutizama tena salio langu nakuta sh 1000 tu,, nimejaribu pia kuangalia kwenye account yangu ya MTN pia hamna kitu,, wakuu hii imekaaje ndo nimeibiwa au ?