Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

Una akili sana we mtu. Upo nchi hii hii kweli?
Tatizo unaamini the universe owes you.

Yani unaamini kwa kuwa una degree basi kuna hadhi/status flani dunia inabidi ikupe.

Yaani uliaminisha ukisoma ukawa na degree dunia itakulipa kwa kukupa maisha mazuri.

The world owes no one. You take what you can get from it.

Do not ask what the world should do for you, ask what you shall do for the world. Ongeza thamani kwenye maisha ya mtu, pesa itakuja kwako kama response.

Zalisha mali, zalisha huduma. Tumia elimu yako kurenovante existing businesses na kuziongezea thamani. Tumia connections zako. Tazama kila opportunity inayopita kwako hata kama ni ndogo sana.

Punguza mzigo. Usizae. Usioe. Usiwe na mpenzi. Pambana, alone.

Mindset ya kuwa you deserve something haitakufanya upambane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo letu bado tunalimbuka na usomi, ndiyo kwanza tunaanza kuwa na watu wengi wenye videgree degree vya kwanza hivi.

Hawa wanalimbuka.

Nyerere alionya sana kuhusu hili tangu mwanzo kabisa.

Ukienda nchi kama Nigeria na Ghana ambako watu wameanza kupata degrees en masse kuanzia miaka ya hamsini huko, mtu mwenye degree kufanya kazi ya kutenga chai si jambo la ajabu.

Wenye degree wengi, kazi za wenye degree chache, ni kawaida tu watu kuchukua nafasi zilizopo kama zile wanazotaka hazipo.
Hata mimi nawashangaa kwa kweli siku mtu anaona degree ni inshu,
Tena mimi ninayo ya law lakini sahiv nauza Bar maisha yanaendelea
 
We jamaa inaonekana unapenda sana kulalamika,Inaonekana huwezi kupambana na maisha mwenywe bila kutupia wengine lawama.Ulikuja na uzi wakulalamikia kampuni ya ulinzi kulipa kidogo sasa hivi tena umeibukia kwenye chai.Yaani uwe na degree na cheti cha JKT bado ushindwe kupata nafuu ya maisha.ndugu utakua na tatizo sio bure.
ipo shida sehemu fulani, kwani hata watoto wakishimba nao wanalalamika hawana ajira pamoja na kuwa na degree, ukweli tatizo ni hawa maprof wa chuo kikuu wanawakonfuzi watoto na hilo mzee kishimba kalisema bungeni tatizo hatukumwelewa, ukweli vyuo vyetu vinatuharibia watoto tu,

Turuhusu vyuo viajiri maprofesor kutoka nje ya nchi, ukifundishwa na prof kutoka canada india au hata kenya ni tofauti mno na hawa wakwetu, kwanza viingereza shida. Tunazalisha mbumbu tu,
 
Wewe itakuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Kama aliyekupeleka kusoma alikwambia unasoma ili upate pesa za burebure tu bila kuzifanyia kazi basi elewa kuwa alikudanganya sana.

Kusoma ni kukufuta ujinga lakini kwa bahati mbaya kabisa wewe ulisomea ujinga.

Hivi kuhudumia watu au watoto chai siyo kazi?Kama kweli hujasomea ujinga, tumia elimu yako hapo uonekane umahiri na ubunifu wako uwe meneja wa hapo unapogawa chai.

Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda kwa watu kama wewe.
Tatizo itakuwa sio kuhudumia chai bali anaona maslahi yake madogo sana
 
Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.
Mkuu, kwani.hukujua nchi ilishaoza tangu 2015 ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uhudumu si unakupatia pesa? Komaa hadi utakapopata mbadala.
Bila shaka hao waandaliwa chai ni MSF ama Red cross.
 
Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.
Usichojua kila mwaka kuna wahitimu wanaongezeka mitaani na kichwani kwako inawezekana kwa sasa pamerudia upupu ukilinganisha na mwaka uliomaliza shule. Yaani kwa elimu yako umeshindwa hata kuanzisha darasa la tuisheni na baadaye ufungue DAY care, Nursery then shule ya msingi?

Anyway hata mimi niliwahi kuzunguka na vyeti vyangu kila ninapoingia ninaambia nina sifa ila bahati mbaya hakuna nafasi; nafasi yenye inazungumziwa na PESA ya kumpa afisa mwajiri
 
Nadhani unashindwa kuelewa,tatizo sio Magufuli,tatizo ni mfumo wa elimu yetu.Kwa bahati mbaya tumerithi mfumo wa elimu wa wakoloni,ambao nia yake ilikuwa kutengeneza employees,who I call slaves.Sasa huko nyuma ajira zilikuwa nyingi,kwa hiyo kila mtu aliweza kuajiriwa.As time went on however,ajira zikawa scarse.Katika hali kama hii mkuu,hatuna alternative,isipokuwa kujiajiri.Sasa hili kama nilivyosema sio kosa la Magufuli,ni kosa la mfumo,kumlaumu Magufuli ni kukosea.Basi kama ni hivyo marais wa awamu ya pili tatu na nne walaumiwe maana ndizo awamu ambapo ajira zilikuwa issue.Kwa Mwalimu Nyerere fortunately kila aliyekuwa na "qualifications" alipata ajira.

Sasa nini kifanyike,dawa ni kubadili mfumo wetu wa elimu,ili tuweze kutoa wahitimu wanaoweza kujiajiri,sio wahitimu wanaosubiri ajira ambazo kwanza hazipo.Lini mfumo huu utabadilishwa sijui,ninacho ona Wizarani ya Elimu ni business as usual na frankly sijui hata kama huo mpango upo.In addition sijui hata kama wataalamu wa kubadili hiyo mitaala ili watu waweze kujiajiri wapo.Anyway mpaka hapo mitaala itakapo badilishwa ili wahitimu waweze kujiajiri,nakubali kuna shida.Mungu atusaidie sana.
Kwani tatizo elimu inayofindisha kujiajiri au mtaji hata ufundishwe kujiajiri na kina biligate nani kama mtaji huna You must look for employment.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani tatizo elimu inayofindisha kujiajiri au mtaji hata ufundishwe kujiajiri na kina biligate nani kama mtaji huna You must look for employment.



Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,tuna kazi.Mtaji unatafutwa mkuu,you don't start big,you grow and gather experience.Haya subiri ajira.Huyo Bill Gates unayemzungumzia si ame-struggle.And then be very careful kudhani kwamba kila unachokiano is real,there is more to it than you think.I would say 99% of what you see is fake.Chunga sana.

Finally ulivyojieleza na mawazo yako explains who you are.Let me tell you,vijana mlio wengi hamna elimu useful kwenye ajira,jiajirini ajira sio lazima.
 
Usiangalie unafanya kazi gani kijana, angalia unafanyia wapi?, unalipwa kiasi gani?, unakutana na nani?, hao unaokutana nao wanaweza kuwa msaada kwa future yako ukiwa tayari, upo hapo for a reason.
Nimepata kazi Kampuni X mjini fulani hapa Tz, nalipwa 800,000/= baada ya makato yote muhimu unayoyafahamu wewe, nishatumwa maji, kibiriti, n.k na watumishi wenza kwa dharau, iliniuma ila nikapotezea. Baada ya miezi 2 wamenizoea na kuanza kuwa rafiki zangu, Siku moja boss aliniambia nibip WhatsApp, akanitumia nafasi za kazi na kusema kuwa niombe kwani anajuana na Meneja wa hiyo Kampuni, hapa nilipo nasubiri majibu ya kazi hiyo, ila nachokumbuka ni kuwa kaniambia kuwa nijiandae for Interview kwani lazima niitwe, and I'm waiting! Jamaa kanionea huruma baada ya kubaini kuwa sina kiburi, na kazi anayonisimamia ni ya muda na umri wangu unakwenda kwani mimi ni above 35,.
Sijaoa, na nimesitisha hanasa zisizo za lazima.
Ushauri: Jishushe, upandishwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikutana na story za brothers kama hizi huwa zinanipa nguvu sana. Shukrani brother
 
Back
Top Bottom