Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

Wewe lofa sana,nani alikuambia kuwa kila mwenyedigrii lazima aajiliwe na serikali,kama hutakatumia hako kadigrii kako kujipatia kipato mbadala utaendelea kuandaa chai hadi ukome,,kuna ra watu wana masters ila no ajira iije kuwa wewe na kadigrii kako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jipime na elimu yako kutafuta kazi na kuweka CV yako katika makampuni duniani halafu uje na mrejesho


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tatizo unaamini the universe owes you.

Yani unaamini kwa kuwa una degree basi kuna hadhi/status flani dunia inabidi ikupe.

Yaani uliaminisha ukisoma ukawa na degree dunia itakulipa kwa kukupa maisha mazuri.

The world owes no one. You take what you can get from it.

Do not ask what the world should do for you, ask what you shall do for the world. Ongeza thamani kwenye maisha ya mtu, pesa itakuja kwako kama response.

Zalisha mali, zalisha huduma. Tumia elimu yako kurenovante existing businesses na kuziongezea thamani. Tumia connections zako. Tazama kila opportunity inayopita kwako hata kama ni ndogo sana.

Punguza mzigo. Usizae. Usioe. Usiwe na mpenzi. Pambana, alone.

Mindset ya kuwa you deserve something haitakufanya upambane.
Bandiko liko wazi
 
Back
Top Bottom