Nimeharibu siku yangu!!!!!!!

Nimeharibu siku yangu!!!!!!!

ume haribu na siku yangu sasa,si ungekaa nayo mwenyewe ah
 
Serikali yote imeoza kuanzia rais mpaka mawaziri wake. Hata miezi miwili haijapita toka awatembelee kwenye wizara zao inakuwaje leo tena kuwaita Dodoma jamani. Hivi huyu rais atatufanyua sisi ndondocha mpaka lini.

Huwezi amini hospitali ya taifa muhimbili inakosa dawa rahisi kama lasix halafu wao wanafuja pesa Dodoma, ni wengi wamepoteza maisha na wanazidi kupoteza maisha kwa kukosa matibabu rahisi kabisa. Naamini roho za hawa wanaowaua huku wao wakila raha Dodoma zitawahukumu.

Watu gani wasio na huruma hawa, hivi ni binadamu kweli, ewe JK kama nchi imekushinda si uache, kwani lazima uendelee kuwa rais wakati ubongo wako hauna uwezo huo?

Da jamani nami siku yangu imeharibika, hebu ngoja niji"sedate" nilale.

Chukua Chako Mapema a .k.a
Chama Cha Mafisadi in action.

Kawaida ya Fisadi hana huruma hata moja, anachotaka yeye kwa maslahi yake lazima kifanyike, yes kulikuwa hakuna haya ya kutumia zaidi ya 500million wakati hali ya kifedha ni tete, watu wakiongea ni tete Jamaa mwingine anaibuka na kusema hali ni swafi.

Unatumia mapesa kibao wakati shule za sec za kata zipo hoi, shule za kayumba wanakaa chini, mahospital kina mama wazazi wanalala chini kama magunia ya mahindi, hivi huwezi kuona ganzi kwenye mwili wako kabla ya kufanya maamuzi kama haya?

Wale wote aliokuwa anawaelekeza namna ya kufanya kazi wanajua wajibu wao ila ni uzembe, wizi, ufisadi na mengine yanayofanana na hayo, sioni umuhimu wa semina hii kwa kipindi hiki cha matatizo.

DR. Slaa akisema ukweli wao wanaibuka na kusema ni mzushi na anataka kufanya taifa lisitawalike, ina maana mnataka kutawala watu wasijua haki zao za msingi? Elimu ya Uraia inasonga mbele na siku za uongozi wenu zinaanza kuhesabika.

Pole sana Tanganyika, huna mtu wa kukusimamia, umebaki kama yatima, waliokabidhiwa madaraka wakulinde ndiyo kwanza wanakurarua bila huruma yeyote na kuuza baadhi ya viungo vya mwili wako kwa mnada.
 
umeniacha hoi bin taabani kwenye quote hii:

"....maeneo maarufu kwa kuuza chakula kwa bei ambazo mtu wa kiwango changu anaweza kumudu, almaarufu kwa jina la "Holiday out". ..."

na hapa. nimecheka mpaka machozi, maana naujua huo mtindo wa kutia maji kwenye ubwabwa na mboga. so kama msosi ni saa 7 bora ujiendee mapema saa 6 na nusu, maana bila hivyo utakuta nyama, chunvi na mchuzi havina mawasiliano wakati viko kwenye kibakuli kimoja.

"...Nilikuwa nimewahi kidogo kupata msosi kabla mchuzi haujaongezwa maji...."
 
Mimi nimetoka kumlipia mtoto wangu sasa hivi school fees kwenye shule za watakatifu shilling 400,5000/= kwa ajili ya term moja ya miezi 3 tena ni Primary school, kwahiyo niacheni hasira zangu ziishe kwanza. kama shule za kata zingekuwa bora hapo ningesave shilling 395,000/= nina hasira na hawa mbwa, ngoja nizime computer tu.
 
hapo kwenye RED maana yake ni kwamba hapo hapo kuna hotel Holiday inn ndio mafisadi wanakwenda kula lunch ya shilling 30,000/= na hapo opposite ndio wadanganyika tunakwenda kupata lunch yetu ya uhakika vile vile, ila muhimu kujaza tumbo bei ni kuanza 1500 na bei ya juu kabisa ni shilling 3000/=
 
Naona sasa nashindwa kuelewa hawa mawaziri wasiojua hata wajibu wao, hadi kuhitaji simple semina elekezi. Halafu niliona kame headmster anawasema walimu wake mbele ya wanafunzi. Duhh, Tanzania, ubovu wa ungozi live TBC.:israel:
 
Mimi kuna habari nyeti humu kwenye jukwaa la siasa huwa sidiriki kuzisoma kwa kina manake unaweza jikuta umeharibu siku na mori ya kufanya kazi. I hate hii serikali ni basi tu hatuna misitu ya maana tungeshaingia liwalo na liwe.

Hiyo semina wanaelekezana jinsi gani ya kuendelea kutufisadi sisi walipa kodi na hii kitu wanafanya kwa siri kubwa.
 
Ezan pole sana lakini hio ndio hali halisi nafikiri tunayonafasi kubwa ya kuyabadilisha haya ni kujipanga na kutoa elimu kwa watu wetu wa karibu waweze kuona haya mapungufu na kuyaelewa.
 
umeniacha hoi bin taabani kwenye quote hii:

"....maeneo maarufu kwa kuuza chakula kwa bei ambazo mtu wa kiwango changu anaweza kumudu, almaarufu kwa jina la “Holiday out”. ..."

na hapa. nimecheka mpaka machozi, maana naujua huo mtindo wa kutia maji kwenye ubwabwa na mboga. so kama msosi ni saa 7 bora ujiendee mapema saa 6 na nusu, maana bila hivyo utakuta nyama, chunvi na mchuzi havina mawasiliano wakati viko kwenye kibakuli kimoja.

"...Nilikuwa nimewahi kidogo kupata msosi kabla mchuzi haujaongezwa maji...."
Hii habari imenisikitisha sana, lakini baada ya kusoma comment hii nimecheka sana...
 
Ubadhirifu wa mali ya umma tu. Kama kweli kulikuwa na haja wangeweza kuweka kila kitu online, mtu anasoma, akimaliza anapigwa quiz, kwishney.

Hivi tunatumia teknolojia kubana matumizi kweli? E-Government iko wapi?
 
Hebu tueleze mkuu mnaibiwaje vile?

We mjinga, usije ukanifanya nikutukane hapa bure. Usitake kunifanya mimi ni mjinga mwenzenu huko ccm! Mmejazana wezi, wahalifu, wauaji, mafisadi huko. Pesa za ikulu zilizotumika kwenye kampeni vipi? Inakuwaje serikali imefilisika angali ilikuwa na bajeti nzuri? EPA ni mama yako aliiba? Wewe ni zaidi ya mjinga, ni mpumbavu! Huna msaada wowote kwetu...
 
Nilikuwa naongea na rafiki yangu jana kuhusu hili jambo, and the main question was WHY Dodoma? Serikali yote ipo hapa dar, kwanini msafiri kwa kodi nyingi nyakati hizi ngumu kwenda kote huko. Wangefanyia hapa hapa mjini, wote watoke kwao asubuhi na warudi nyumbani jioni. Muda si mrefu itafahamika tu.
 
Dr.slaa,baada ya kutoka mikoani,tunaomba muandae maandamano nchi nzima! Jamani tumechoka! 2015 tutafika kweri?
 
Mimi nimetoka kumlipia mtoto wangu sasa hivi school fees kwenye shule za watakatifu shilling 400,5000/= kwa ajili ya term moja ya miezi 3 tena ni Primary school, kwahiyo niacheni hasira zangu ziishe kwanza. kama shule za kata zingekuwa bora hapo ningesave shilling 395,000/= nina hasira na hawa mbwa, ngoja nizime computer tu.

Kweli una hasira Matola.

Kwenye mada:- Huyu m.k.w.e.r.e yani anaichanga nchi hii. Ngombaru wa hali ya juu
 
Kuingia barabarani ili kuiangusha serikali halari sidhani kama kuna nchi itakuunga mkono kikubwa kama utawala huu hujaupenda tujipange kuushina katika uchaguzi ujao

You cant be serious broda!! serikali ipi halali unaizungumzia??
 
Nilikuwa naongea na rafiki yangu jana kuhusu hili jambo, and the main question was WHY Dodoma? Serikali yote ipo hapa dar, kwanini msafiri kwa kodi nyingi nyakati hizi ngumu kwenda kote huko. Wangefanyia hapa hapa mjini, wote watoke kwao asubuhi na warudi nyumbani jioni. Muda si mrefu itafahamika tu.

kule kuna sehemu inaitwa mail mbili - special kwa mbuzi choma and the likes. ushaambiwa serikali ina PESA na matumizi yake ndiyo haya - kalagabaho.
 
Mijitu mingine bado iko kwenye usingizi wa pono. Hilo ni swali la kuuliza hilo eti "Hebu tueleze mkuu mnaibiwaje vile"!! Jitambulishe basi kama wewe sio mtanganyika na kama wewe ni mtanganyika basi ndio ninyi ambao bado mmelala fofofo mnahitaji kumwagiwa maji ya pilipili muamke. mawazo pumba pumba pumba kabisa
 
Mimi nimetoka kumlipia mtoto wangu sasa hivi school fees kwenye shule za watakatifu shilling 400,5000/= kwa ajili ya term moja ya miezi 3 tena ni Primary school, kwahiyo niacheni hasira zangu ziishe kwanza. kama shule za kata zingekuwa bora hapo ningesave shilling 395,000/= nina hasira na hawa mbwa, ngoja nizime computer tu.

Hapo kwenye red ni shilingi ngapi hizo! Nyie si mlikuwa mnacheka zile cheki zilizokosewa tarakimu?
Halafu mbona hamuonyeshi kukerwa na pesa zetu zinazotumika kwenye MAANDAMANO POTOSHI?!!!!
Au zile milioni saba na nusu anazoziponda JOSEPHINE kila mwezi!
Acheni ujinga! grow up!

Back
Top Bottom