Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Hahahaa hapa ni home sweet home
Ha ha ha ha kama kawaida yako
Hahahaa hapa ni home sweet home
Nenda kajisalimishe kwa mume wake.Wadau habari zenu,naomba mniambie hapa mwenye kosa ni nani
Ni kwamba siku moja nipo kwenye daladala natoka kwenye mishe zangu nkakutana na mtoto kwenye gari nikaomba namba after 2 days nikamtia vocal akakubali tukaanza mapenzi,lkini Kumbe Yule Binti kaolewa Mme wake kashtukia kama nachat nae akaanza visa kwa mke wake na kunitafuta mm ,nikamwambia mi naishi mbeya na huyo mke wako sifahamu nlikosea tu namba ,jamaa hakuelewa akamnyang'anya simu Yule mke was na kumwachisha kazi ya kuuza duka mjini na ndoa yao ipo katika migogoro ,wakati Yule demu mi nlishampiga chini lakini jamaa hamwamini tena mke wake kila siku ugomvi huyo demu ananitafuta siku moja moja kunipa taarifa kinachoendelea na anadai kamchoka mshikaji anataka kurudi kwao ,Sasa naona kama nimeharibu ndoa ya watu nifanyaje jamani ili mdada wa watu aendelee na ndoa yake??
Basi muoeSijaoa mkuu
Ushaambiwa alikuwa hajui Kama ni mke wa mtu ndo maana akaachana nae sasa wee povu LA nn Kama mke wako wako na ww anachapwaga we kausha tu maana linakuhusu hiliunaomba ushauri kwa uharibifu huo uliofanya?ushaur gani unataka kupewa na jibu unalijua?Muoe wewe sasa kama anaachwa ili na wewe wamvue chu...pii!
mwambie ukweli mme wake ili amsamehe mkewe kuwa ulifichwa na huyo dada kama ameolewa
Akiachwa chukuaSijaoa mkuu
Sikia we mfinyu wa mawazo,Kama amemuharibia si alisema anampenda?au alimuambia tu wakasex?amuoe kama kaachwa au anataka kuachwa,si anampenda?sasa yeye anaomba ushauri wa nini?wa kuomba ushauri ni huyo mwanamke sio huyu mfinyu wa mawazo mwenzako,na unamtetea sana au ndio umekuwa "delicious" na wewe kwa huyu jamaa!Usinitaftie Ban!Ushaambiwa alikuwa hajui Kama ni mke wa mtu ndo maana akaachana nae sasa wee povu LA nn Kama mke wako wako na ww anachapwaga we kausha tu maana linakuhusu hili