Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,249
Master sio elimu ya kutisha labda PhD ndio natishika kidogo na Phd iwe niya Ivy League School au Europe na Australia tena best universities zilizobobea kwenye tafiti ndio nitatishika. Marekani elimu ya master hata muhudumu wa hotel na supermarket wanazo tena na bongo siku hizi hata kwa kusoma jioni na kufanyiwa research unapata masters yako.
Lukwafya