GENE THERAPY
Member
- Oct 29, 2013
- 52
- 103
Nimetoroka kazini kwasababu yao, na mpira waliopiga leo, Hawa jamaa wamenishawishi kuwa shabiki wao,Azam waliutafuta mpira kwa tochi. Natamani sana wanaojiita wakongwe wa soka(simba na yanga) wafe kifo cha mende.
Nimehamia Mbeya city kama nilivyohamia Arsenal kwa mkopo.
Nimehamia Mbeya city kama nilivyohamia Arsenal kwa mkopo.