Nimehamia abroad, msinitafute....!!

Nimehamia abroad, msinitafute....!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,897
Reaction score
15,125

Hakuna umeme, hakuna maji ya bomba, hakuna gari wala daladala au boda boda.
Mtandao kwa wasiwasi , na TV ndo hakuna kabisa.
Nikitaka kwenda mjini sharti nivue nguo zote kwanza!
Sina haja ya kuwakaribisha......Msinitafute!
 
1-Rock-Restaurant-Zanzibar-Tanzania.jpg

Usiwe na hofu mkuu Maso, mie niko Zenji hapa nala urojo wa bahari!
 
Hapo zenji nimepapenda bure mkuu vipi shilingi ngapi uniuzie?
 
Hapo zenji ni ufukweni eeh? Me Nataka sehemu katikati ya maji
 
Back
Top Bottom