Nimehama Simba rasmi

Binafsi sijaacha kuishabikia simba ila naungana na Mchome, jamaa anaongea ukweli lakini mashabiki wanang'ang'ana huyu katumwa na yanga
Mchome sio shabiki wa Simba shtuka
 
Nitaendelea kushabikia Simba Sc mpaka pale tutakapobeba kombe la Club World Cup.
 
ungesubirisubiri mpk yanga wachukue ubingwa wa 8 mfululizo hivi
 
Sisi simba ni hamnazo kabisa ,naunga mkono hoja
 
Safi sana..
 
Kadi yako namba ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…