Nimehama CHADEMA kwasababu wanafanya nchi isiwe na maendeleo

Daah kweli Maisha ni magumu huyo alishakula pesa za polepole hvyo hakuwa na jins nyingne ya kufanya ilibidi tu aropoke lolote kumfurahisha mkuu kuliko kuingia mitin na pesa za watu kama wale wajanja wengne walioitwa "wapumbavu kabisa"
Unataka kunambia bado hawa waliohama CDM wataendelea na majukumumu yao kama kawaida? Au ndiyo mnataka kuishi kwa matumaini tu. Au ni mamluki?
 
Kiboko ni ile ya juzi kwa mkulu kusema WAPUMBAVU kabisa wale waliokataa kurudisha kadi za cdm.
Kweli CCM imefika hatua ya kuwa chama cha vile!!!!!!!!!!!!!.
 
Boss kindikwili Tafuta Wajinga na Wapumbavu wenzako uwadanganye hivyo. Swali dogo tu, Kwani Chadema wana Jeshi? Chadema wana Polisi? Chadema wanakusanya kodi? Chadema wana TISS aka Usalama wa Taifa? Chadema wana Jamhuri aka Serikali??

Yaani Mtu una kila kitu, una Jeshi, una Polisi, una Usalama wa Taifa den outcome ni Zero, den unakuja na Upupu wako hapa.

Simple mind, Wewe ni tembo, kwanini Sisimizi anakuumiza kichwa, 24/7 unatumia nguvu kubwa kumuua sisimizi ??? !!!

Umofia kwenu!

Nimekuwa nikiwaza sana aina ya elimu tunayofundishwa huko mashuleni na vyuoni. Nalaani sana mfumo wetu wa elimu ambao si tu hautupi uwezo wa kuchambua mambo bali pia hautupi uwezo wa kufikiria kisawasawa, kutenda sawasawa na kuamua sawasawa. Elimu yetu imefeli katika nyanja zote, kuanzia kuwezesha wahitimu kuwa wabunifu, kujiajiri na hata kupata uelewa wa kawaida.

Inasikitisha mtu mwenye elimu ya degree ya Accountancy na CPA juu kusema mchana kweupe bila ya kupepesa macho wala makope yake tena akiwa mbele ya mkuu wa nchi na viongozi wengine waandamizi wa nchi kuwa kaamua kuhama chama cha chadema kwenda ccm kwasababu tu amegundua chadema wanapinga kila kitu hivyo kufanya nchi isiwe na mendeleo.

Najiuliza kivipi Chadema hata wakipinga chochote kile wanaweza kufanya nchi hii isiwe na maendeleo. Chadema hawakusanyi kodi, bungeni pale maamuzi yanafanywa na wabunge wa ccm kwasababu ndiyo wengi, serikali imeundwa na makada wa ccm kuanzia serikali kuu hadi mkurugenzi wa halmashauri.

Hivi kweli mtu mwenye degree na CPA holder anaweza kutuambia ni nchi gani hapa dunia wapinzani wanaunga chochote kinasemwa na serikali?. Au yule jamaa alipanga kuwatusi wana ccm kwa mgongo wa CDM?

Kwa kweli nimegundua kitu kimoja , huenda ujinga wa Waafrika unatokana na sababu nyingi, kama wazazi kutokujiandaa kupata mtoto kwahiyo mzee anaweza kutoka kunywa pombe na usiku huo akamlala mkewe na mimba kunasa, lishe duni toka mama anapokuwa mjamzito, lishe duni kwenye miaka 5 ya awali toka mtoto azaliwe, ujinga wa kurithi kwenye ukoo wa baba na mama, umasikini na lack of exposure. mjumuiko wa haya mambo hayawezi kumuacha mwenye CPA wa halmashauri wa HAI salama.

Kindikwili Masasi Ntwara.
 
Jamii forum sio tena the home of great thinker
Tena humu wasomi ni wachache sana wengi ni vilaza
Ndio maana tuna saini mikataba ya miaka mia bila ya kusoma mkataba
Pole sana msomi wa jf kwa watusi ya fake great thinker
 
Umofia kwenu!

Nimekuwa nikiwaza sana aina ya elimu tunayofundishwa huko mashuleni na vyuoni. Nalaani sana mfumo wetu wa elimu ambao si tu hautupi uwezo wa kuchambua mambo bali pia hautupi uwezo wa kufikiria kisawasawa, kutenda sawasawa na kuamua sawasawa. Elimu yetu imefeli katika nyanja zote, kuanzia kuwezesha wahitimu kuwa wabunifu, kujiajiri na hata kupata uelewa wa kawaida.

Inasikitisha mtu mwenye elimu ya degree ya Accountancy na CPA juu kusema mchana kweupe bila ya kupepesa macho wala makope yake tena akiwa mbele ya mkuu wa nchi na viongozi wengine waandamizi wa nchi kuwa kaamua kuhama chama cha chadema kwenda ccm kwasababu tu amegundua chadema wanapinga kila kitu hivyo kufanya nchi isiwe na mendeleo.

Najiuliza kivipi Chadema hata wakipinga chochote kile wanaweza kufanya nchi hii isiwe na maendeleo. Chadema hawakusanyi kodi, bungeni pale maamuzi yanafanywa na wabunge wa ccm kwasababu ndiyo wengi, serikali imeundwa na makada wa ccm kuanzia serikali kuu hadi mkurugenzi wa halmashauri.

Hivi kweli mtu mwenye degree na CPA holder anaweza kutuambia ni nchi gani hapa dunia wapinzani wanaunga chochote kinasemwa na serikali?. Au yule jamaa alipanga kuwatusi wana ccm kwa mgongo wa CDM?

Kwa kweli nimegundua kitu kimoja , huenda ujinga wa Waafrika unatokana na sababu nyingi, kama wazazi kutokujiandaa kupata mtoto kwahiyo mzee anaweza kutoka kunywa pombe na usiku huo akamlala mkewe na mimba kunasa, lishe duni toka mama anapokuwa mjamzito, lishe duni kwenye miaka 5 ya awali toka mtoto azaliwe, ujinga wa kurithi kwenye ukoo wa baba na mama, umasikini na lack of exposure. mjumuiko wa haya mambo hayawezi kumuacha mwenye CPA wa halmashauri wa HAI salama.

Kindikwili Masasi Ntwara.
We mavi tu hata ukiondoka hakuna shida
 
We kweli haujitambui

Duuuh haya

CHADEMA = WASALITI WA MAENDELEO TANZANIA

Hongera kwa kufanya maamuzi ya busara kama Dr slaa

Chadema saizi wamebaki kuweweseka mara operation kata funua ,mara operation Miga,sijui operation nn kwani tupo hospital
Hizi ndio tabia za vijana wa makinikia FC, wanakoment bila kusoma!

Hawana tofauti na baba zao akina Propesa mruma! Wanasaini mikataba bila kusoma!

Mangungo fc!
 
Boss kindikwili Tafuta Wajinga na Wapumbavu wenzako uwadanganye hivyo. Swali dogo tu, Kwani Chadema wana Jeshi? Chadema wana Polisi? Chadema wanakusanya kodi? Chadema wana TISS aka Usalama wa Taifa? Chadema wana Jamhuri aka Serikali??

Yaani Mtu una kila kitu, una Jeshi, una Polisi, una Usalama wa Taifa den outcome ni Zero, den unakuja na Upupu wako hapa.

Simple mind, Wewe ni tembo, kwanini Sisimizi anakuumiza kichwa, 24/7 unatumia nguvu kubwa kumuua sisimizi ??? !!!
Hahahaa kikarara 78 kama muda huu utarudia kusoma post yangu utagundua wewe ndiyo mjinga na kiranja mkuu wa wapumbavu, umetia hasira sana nikizingatia kuwa nawewe unaikosoa ccm wakati ni aina ya viongozi wa ccm wanaosaini mikataba bila ya kusoma. Mkuu jifunze kusoma post kabla ya kujibu. Yaani Leo ndiyo nimejua JF INA watu wajinga na wala si home of great thinkers .
 
Back
Top Bottom