Nimehama CHADEMA kwasababu wanafanya nchi isiwe na maendeleo

Khaaaa. Chama cha siasa kuzuia maendeleo ya nchi. Duuh naanza kuamini kuwa mahindi yanadumaza akili.
 
Wale watu wa buku 7mekuja gundua ela wanayopewa wamaijua but kazi awaijui
 
Kama unataka kuandika kitu kwanini usiende direct to the point badala ya kuzunguka huku na kule!? Kuna wasiojitambua humu leo watakwambia mie Chadema kesho utawasikia wako lumumba. Kuweni makini nao sana. Na mifano ya hao humu ipo ya kutosha tu.
Sema ulikurupuka na mihemuko ya kivyama, jifunze kusoma kisha ucomment,nakuonaga hapa toka najiunga kumbe ni wale wale wavivu wa kusoma mabingwa wa ku comment. Halafu mtu kuisifia chadema na kuiponda ccm haimfanyi kuwa mwana chadema kama ambavyo si kila anayeipondea cdm ni mwana ccm. Wakati mwingine usifungwe sana na itikadi za ccm na cdm.
 
Umofia kwenu!

Nimekuwa nikiwaza sana aina ya elimu tunayofundishwa huko mashuleni na vyuoni. Nalaani sana mfumo wetu wa elimu ambao si tu hautupi uwezo wa kuchambua mambo bali pia hautupi uwezo wa kufikiria kisawasawa, kutenda sawasawa na kuamua sawasawa. Elimu yetu imefeli katika nyanja zote, kuanzia kuwezesha wahitimu kuwa wabunifu, kujiajiri na hata kupata uelewa wa kawaida.

Inasikitisha mtu mwenye elimu ya degree ya Accountancy na CPA juu kusema mchana kweupe bila ya kupepesa macho wala makope yake tena akiwa mbele ya mkuu wa nchi na viongozi wengine waandamizi wa nchi kuwa kaamua kuhama chama cha chadema kwenda ccm kwasababu tu amegundua chadema wanapinga kila kitu hivyo kufanya nchi isiwe na mendeleo.

Najiuliza kivipi Chadema hata wakipinga chochote kile wanaweza kufanya nchi hii isiwe na maendeleo. Chadema hawakusanyi kodi, bungeni pale maamuzi yanafanywa na wabunge wa ccm kwasababu ndiyo wengi, serikali imeundwa na makada wa ccm kuanzia serikali kuu hadi mkurugenzi wa halmashauri.

Hivi kweli mtu mwenye degree na CPA holder anaweza kutuambia ni nchi gani hapa dunia wapinzani wanaunga chochote kinasemwa na serikali?. Au yule jamaa alipanga kuwatusi wana ccm kwa mgongo wa CDM?

Kwa kweli nimegundua kitu kimoja , huenda ujinga wa Waafrika unatokana na sababu nyingi, kama wazazi kutokujiandaa kupata mtoto kwahiyo mzee anaweza kutoka kunywa pombe na usiku huo akamlala mkewe na mimba kunasa, lishe duni toka mama anapokuwa mjamzito, lishe duni kwenye miaka 5 ya awali toka mtoto azaliwe, ujinga wa kurithi kwenye ukoo wa baba na mama, umasikini na lack of exposure. mjumuiko wa haya mambo hayawezi kumuacha mwenye CPA wa halmashauri wa HAI salama.

Kindikwili Masasi Ntwara.
shabiki wa siasa za kikandamizaji.Pia ufahamu wako ni mdogo hujui hata kina endelea nini.Biashara za watanzaia zina fungwa wewe bado una shabikia uzuzu
 
Watanzania tumezoea kudanganywa na wanasiasa wanatudharau sana. Nilimdikia Mary Nagu siku PM akizindua mradi wa maji ati mgombea wa Ubunge Jimbo la Longido, Dk Kiruswa alikuwa anamsumbua kuhusu maji Longido. Juzi Rais Magufuli anawaambia Watanzania pale Sheikh Amri Abeid kuwa amepunguza bei ya sukari kutoka sh.5,000/- kwa kilo wakati wa JK hadi 2,400/- akiwa macho makavu kabisa kana kwamba anaongea na Wakongomani. Yaani vioja haviishi.

Sasa huyo mwingine anadai Chadema wanaifanya nchi isiwe na maendeleo na watanzania wanapoteza muda na wanavumilia kusikiliza ujinga huo. Yaani wanasiasa wanawaona Watanzania ni mazuzu sana, tuko tayari kuambiwa mchanga ni sukari na tukasikikiza tu huo ijinga.

Vv

Hujamuelewa msomw vizuri mkuu
 
Aisee sitawashanga tena wale viongozi wanaosaini mikataba bila kuisoma.
Kumbe hii kitu ipo kwenye damu sio Chadema wala Ccm.
Inasikitisha mno.
Mwenyewe nimeiona, ukitaka kujua kuwa tatizo si ccm wala chadema angalia comments za watu humu. Mtu kama BAK anashambulia sana ccm kumbe naye ni wale wale wasioweza kusoma , huyu hata kama chadema utashika madaraka halafu itokee kapewa wizara si ndiyo atasaini mkataba wenye welengo wa kutuuza kabisa. Kama wanashindwa kusoma page moja tena ya kiswahili pages 100/za kimombo watasoma? Shame on us.
 
shabiki wa siasa za kikandamizaji.Pia ufahamu wako ni mdogo hujui hata kina endelea nini.Biashara za watanzaia zina fungwa wewe bado una shabikia uzuzu

Mkuu umemuelewa lakini?? Hebu msome kwa utaratibu.
 
Sijui Chadema walitawala kipindi gani??Hope Mkapa alitoka Chadema, no mh!JK duh nimekosea nasikia Mwinyi.

Akili nyingine bwana kama za vitoboto
kwani cdm waliwahikushika dola wakakusanya kodi hadi wakawa hawazitumii kwenye maendeleo
 
Uandishi una taratibu zake kama huzijui kajifunze. Huwezi kumlenga tu A kwenye uandishi wako kumbe umekusudia mtu B. Kichwa cha habari lazima kiendane na habari husika. Usituletee uandishi uchwara humu.

Sema ulikurupuka na mihemuko ya kivyama, jifunze kusoma kisha ucomment,nakuonaga hapa toka najiunga kumbe ni wale wale wavivu wa kusoma mabingwa wa ku comment. Halafu mtu kuisifia chadema na kuiponda ccm haimfanyi kuwa mwana chadema kama ambavyo si kila anayeipondea cdm ni mwana ccm. Wakati mwingine usifungwe sana na itikadi za ccm na cdm.
 
Uliona wapi mtu Chadema akasimama jukwaani aanze kuilaumu Chadema kwa makosa yote ya nchi hii kumbe anailenga CCM!

Straight to the point that's the rule of the game.
Mkuu kumbe uwezo wako wa kuelewa ni Mdogo sana. Hiyo title siyo maneno yangu ,ni ya huyo CPA holder aliyekuwa makamu makamu mwenyekiti wa halmashauri ya HAI aliyehamia ccm. Mbona una kichwa kikubwa tu halafu unashindwa kuelewa vitu simpo kama hivi, kuna mpoland moja aliniambia waafrika wana vichwa vikubwa ila akili kama kichwa cha dagaa.Japo sikufurahia kauli hiyo ila naona unadhihirisha hiyo kauli.
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Umofia kwenu!

Nimekuwa nikiwaza sana aina ya elimu tunayofundishwa huko mashuleni na vyuoni. Nalaani sana mfumo wetu wa elimu ambao si tu hautupi uwezo wa kuchambua mambo bali pia hautupi uwezo wa kufikiria kisawasawa, kutenda sawasawa na kuamua sawasawa. Elimu yetu imefeli katika nyanja zote, kuanzia kuwezesha wahitimu kuwa wabunifu, kujiajiri na hata kupata uelewa wa kawaida.

Inasikitisha mtu mwenye elimu ya degree ya Accountancy na CPA juu kusema mchana kweupe bila ya kupepesa macho wala makope yake tena akiwa mbele ya mkuu wa nchi na viongozi wengine waandamizi wa nchi kuwa kaamua kuhama chama cha chadema kwenda ccm kwasababu tu amegundua chadema wanapinga kila kitu hivyo kufanya nchi isiwe na mendeleo.

Najiuliza kivipi Chadema hata wakipinga chochote kile wanaweza kufanya nchi hii isiwe na maendeleo. Chadema hawakusanyi kodi, bungeni pale maamuzi yanafanywa na wabunge wa ccm kwasababu ndiyo wengi, serikali imeundwa na makada wa ccm kuanzia serikali kuu hadi mkurugenzi wa halmashauri.

Hivi kweli mtu mwenye degree na CPA holder anaweza kutuambia ni nchi gani hapa dunia wapinzani wanaunga chochote kinasemwa na serikali?. Au yule jamaa alipanga kuwatusi wana ccm kwa mgongo wa CDM?

Kwa kweli nimegundua kitu kimoja , huenda ujinga wa Waafrika unatokana na sababu nyingi, kama wazazi kutokujiandaa kupata mtoto kwahiyo mzee anaweza kutoka kunywa pombe na usiku huo akamlala mkewe na mimba kunasa, lishe duni toka mama anapokuwa mjamzito, lishe duni kwenye miaka 5 ya awali toka mtoto azaliwe, ujinga wa kurithi kwenye ukoo wa baba na mama, umasikini na lack of exposure. mjumuiko wa haya mambo hayawezi kumuacha mwenye CPA wa halmashauri wa HAI salama.

Kindikwili Masasi Ntwara.
Hata wewe, mfumo wa elimu umekuathiri. Mtafakari Huyo CPA holder vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umekosea kuhama muda huu, ungesubiria Rais aje kukupokea mkuu!
Watanzania kwa sifa bhana, kwani kama ungehama bila kufungua thread ungepata ugonjwa gani mkuu
Wale wale waliodumaa wakiwa tumboni, shame on you
 
Na hapa ndio utakapo amini kuwa vilaza wengi wa humu ni wakurupukaji sana , hawajasoma maudhui wana kimbilia kutoa ushuzi kweli wajinga ndio waliwao , wengi hawajasoma ndio maana wajinga wameshindwa hata kusoma ulicho andika halafu eti wana jiita ma great thinkers.
Humu greater thinkers kama wapo ni wachache sana, kwangu heshima ziwaendee The Bold na mzee tupa tupa. Waliowengi humu ni kama wako kwenye kijiwe cha kahawa. Ukiandika title yenye kumsifia Rais hawasomi ila wanakushambulia tu, wenzao nao ukiandika title yenye kuisifu chadema hawasomi ila unaambulia matusi tu. Nchi hii vijana wamerogwa na si wana ccm tu hata wale wa chadema nao naona ni wale wale
 
Asee huwez amini huyo jamaa wa cpa tangu anasoma namuona vema..Kamaliza cpa tu akaajiriwa na kampuni ya maengineer akapewa na gari ilaa wakati wa uchaguz akaenda chadema ili awe mwenyekiti wa madiwani jimbo la Hai ila Mbowe akamkatalia , na jamaa alikuwa akisema akipewa uenyekiti tu atapiga pesa hapo hai hadi awape ndugu zake mashamba. Hapo jamaa hajaenda ccm kwa ajili ya rais ila anatafuta pesa tuu. kwa hyo mnaomsapoti jamaa wa CPA ni mazuzu tu maana jamaa anatafuta pesa bora mm simsapoti ila naweza nikaambulia hata 10K kama ccm wakimpa ka cheo cha kujishikiza
Hahahaa mimi nilimuona kama mtu mjinga wa ajabu, nimedharau sana CPA yake
 
CPA holder ndiyo kitu gani wewe! Hujaona wenye Phd ambao ni ZERO BRAINS? Mmoja yuko Ikulu. Tia akili kichwani wewe!

Mkuu kumbe uwezo wako wa kuelewa ni Mdogo sana. Hiyo title siyo maneno yangu ,ni ya huyo CPA holder aliyekuwa makamu makamu mwenyekiti wa halmashauri ya HAI aliyehamia ccm. Mbona una kichwa kikubwa tu halafu unashindwa kuelewa vitu simpo kama hivi, kuna mpoland moja aliniambia waafrika wana vichwa vikubwa ila akili kama kichwa cha dagaa.Japo sikufurahia kauli hiyo ila naona unadhihirisha hiyo kauli.
 
Umofia kwenu!

Nimekuwa nikiwaza sana aina ya elimu tunayofundishwa huko mashuleni na vyuoni. Nalaani sana mfumo wetu wa elimu ambao si tu hautupi uwezo wa kuchambua mambo bali pia hautupi uwezo wa kufikiria kisawasawa, kutenda sawasawa na kuamua sawasawa. Elimu yetu imefeli katika nyanja zote, kuanzia kuwezesha wahitimu kuwa wabunifu, kujiajiri na hata kupata uelewa wa kawaida.

Inasikitisha mtu mwenye elimu ya degree ya Accountancy na CPA juu kusema mchana kweupe bila ya kupepesa macho wala makope yake tena akiwa mbele ya mkuu wa nchi na viongozi wengine waandamizi wa nchi kuwa kaamua kuhama chama cha chadema kwenda ccm kwasababu tu amegundua chadema wanapinga kila kitu hivyo kufanya nchi isiwe na mendeleo.

Najiuliza kivipi Chadema hata wakipinga chochote kile wanaweza kufanya nchi hii isiwe na maendeleo. Chadema hawakusanyi kodi, bungeni pale maamuzi yanafanywa na wabunge wa ccm kwasababu ndiyo wengi, serikali imeundwa na makada wa ccm kuanzia serikali kuu hadi mkurugenzi wa halmashauri.

Hivi kweli mtu mwenye degree na CPA holder anaweza kutuambia ni nchi gani hapa dunia wapinzani wanaunga chochote kinasemwa na serikali?. Au yule jamaa alipanga kuwatusi wana ccm kwa mgongo wa CDM?

Kwa kweli nimegundua kitu kimoja , huenda ujinga wa Waafrika unatokana na sababu nyingi, kama wazazi kutokujiandaa kupata mtoto kwahiyo mzee anaweza kutoka kunywa pombe na usiku huo akamlala mkewe na mimba kunasa, lishe duni toka mama anapokuwa mjamzito, lishe duni kwenye miaka 5 ya awali toka mtoto azaliwe, ujinga wa kurithi kwenye ukoo wa baba na mama, umasikini na lack of exposure. mjumuiko wa haya mambo hayawezi kumuacha mwenye CPA wa halmashauri wa HAI salama.

Kindikwili Masasi Ntwara.
Pole. Tatizo lao kwa sasa ni kupata wa Arusha. Posho yako haitojaa hata mkononi.
 
Back
Top Bottom