''Habari yako kaka'' ni sauti ilitoka kwa upole huku moyoni nikadhani ni mrembo anataka kuniangukia. Mara nikageuka kutahamaki ni dume lililojaa vishimo vya sharubu likitoa tabasamu kama binti. Yalai tobaa nini hiki nakutana nacho asubuhi hii ndani ya daladala? Nimejikuta najilaumu kwa maana leo wife alitaka niondoke na private car nikamkatalia maana naskia leo wese halipo lakutosha kwenye visima. Basi nilimjibu mimi niko powa dada, aisee alitoa bonge la tabasamu huku akionesha kufurahi jinsi nilivyomuita dada. Naomba namba yako ya simu aliniomba ahaa ilibidi nishuke fasta kabla hajaniganda.
Afrika tumeingiliwa
Pole sana. Ila jua mashoga wako kila sehemu na kuna uwezekano unakutana na kugusana nao bila hata kujua! Jitahidi tu kutokuwa homophobe.
Huwa najisikia vibaya
Kuna mmoja nilikuwa namyanyapaa sana mahali fulani
Alikuwa anataka kunizoea afu mie sitaki hata tone, akinisalimia naitikia kama simuoni, lakini hakuwahi kuchoka.Baadae tukaja kukutana mazingira tofauti, alifurahi sana kuniona ila hakuwa na uhakika kama attitude yangu.
Baadae nilikaa nikajiuliza, hivi kwa nini nakuwa hivyo? Kuanzia siku hiyo nilianza kujitahidi japo salamu tu
Hatimaye naweza ongea naye, hata tukacheka, japo hatuko marafiki kihivyo
Na he is a good guy kwa kweli
Nadhani ni phobia, najitahidi kuipunguza japo ni kazi sana
hatupaswi kuwapa nafasi hawa watu, jamii inatakiwa iwatenge ili kila mmoja aelewe hivyo vitendo ni viovu na havifai.
Unapo mchukulia kawaida hata mtoto wako ataona hicho ni kitu cha kawaida na anaweza kutamani kuwa hivyo.