Serious kabisa ndugu unaweza fikiri nawatania lakini nakuomba uangalie posti zangu utakubaliana na mimi. Kesho acha tu nikatubu kanisani huenda kuna kitu mungu nimemkwaza.
Jamani ni kweli!!?
Kitu kikikuumiza haimaanishi mkosi ila angalia ni nini kimepelekea.Kwa mfano mimi ni Arsenal damu lakini Wenger ndio chanzo jaribu kumcheki kiundani toka msimu wa 2006/2007 ndo utagundua huyu mzee alishafikia kikomo cha kufanikiwa siku nyingi.Kilichobaki sasa ni kumsubiria aondoke maana amekuwa kama Mugabe.
Mkuu hata Maalimu Seifuππ:what:
Si bure nimegundua mungu ameshanitegea mgongo!!
Ni shabiki mkubwa wa UKAWA dkk za majeruhi tumekatwa!!
Naishabikia Arsenal nayo tumekatwa!!
Ni mpenzi wa Real Madrid FC nayo tumekatwa pia namzimia Maalimu Seifu naye kakatwa na Jecha huko Zanzibarππ

Hao wote sio baba wala mama zako, mimi mwenyewe hapa ukawa moja+Chelsea vibonde, kwahiyo wewe potezea tu