kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,479
- 5,072
Duh
Hii imekuwa edited mkuu!Hatoi majibu kwa kuwa kichwa cha habari kinajieleza, someni chote jamani....nanukuu
Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine
Umewahi sana kuleta mambo ya talaka tulia kwanzaPole sana dadangu hili jambo ni gumu sana. Kama unavosema inatia sana kinyaaa pia. Hapo talaka ndio suluhisho kwa sababu kwa dini zote hili jambo halitakiwi na ni dhambi mbaya sana.