Nimegundua humu jf watu wanapenda kunyanduana sana

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
402
539
Katika pitapita zangu za hapa na pale katika kila post za watu tofautitofauti.

Nimegundua wanaume na wanawake wa humu wanaendekeza ngono sana.

Haswa hizi posti za MMU utakuta watu wameposti minyanduano tupu. Sijui in the long run faida yake ni ipi haswa !

Halafu kule kwenye love connect mbona wadada wanaotaka wenza wao ukiwa pm wagumu kureply sana sijui wanataka nn kama sio haya haya mambo.
 
Vipi wewe hupendi
 
Wale waliokosa soko mtaani wamekuja huku kujibrand na ku fake life...... Ili kupata fack mate

Wanajijua 🚮🚮🚮🚮

1688014484993.jpg
 
Unapenda ama hupendi?

Halafu unashinda MMU na Love connect unategemea ukutane na nini kama sio minyanduano
Mwambie ndiomana kuna majukwaa tofauti.
Ni sawa na kushinda jukwaa la siasa alafu aanzishe thread kuwa "Wanapenda kuongelea siasa nikiingia kwenye jukwaa la siasa"
Sasa anajielewa huyo?🤣🤣🙌
 
Mwambie ndiomana kuna majukwaa tofauti.
Ni sawa na kushinda jukwaa la siasa alafu aanzishe thread kuwa "Wanapenda kuongelea siasa nikiingia kwenye jukwaa la siasa"
Sasa anajielewa huyo?
Ww unapenda minyanduano sana inavyonekana
 
Back
Top Bottom