The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
Hello JF
Nimegundua kitu juu ya wanawake kwamba wapo strong kukabiliana na majukumu than men embu chukulia mfano kina baba wangapi walishatelekeza familia lakini bado familia inasonga mbele mwendo uleule.
Lakini kina sisi men unaweza ziliwa watoto wawili tu utahaha mpaka basi wewe unalitazamaje hili?
hivi wale wanaotupa watoto, kutoa mimba, na kuwafungia ndani siku tatu ni wanaume au unatafuta matusi...... !!!!