Nimegeuzwa Erick Omondi

Umechelewa sana Singasinga nasema uongo ndugu zangu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
nlidhani nko mwenyewe kumbe tuko wengi yaan demu maslahi yake anatak atimiziwe ila yako kukutimizia sahau.....na bora na ww ankup visingizio me wangu ananyooka straight ansema hawezi kuja afu nikiuchuna hata wiki na yye vivyo hivyo anauchuna....ila maamuzi ya mwisho ni kutafuta ustaarabu mwingine tu🥴🥴🥴
 
Kwamba anajibu kabisa hawezi kuja?[emoji3]
 
Mzee huyo kaku friend zone [emoji23][emoji23] si ulijifanya mchekeshaji .... Na kutoka hapo ni ngumu asikuambie mtu ..hata akija ukamtindua bado utabaki Kama rafiki maana akili zake zipo huko

.....Kama unatafuta mchumba wa maisha tafuta sehem nyingine na punguza uboya wako wa kujifanya comedian hakikisha mwanamke kabla hamja fika mbali amesha jua lengo lako ni nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…