Nimegeuzwa Erick Omondi

Kumbaf sana huyo.....eti "hahahaaa"
Akachekee makima wenzake huko.....AMENIKERA!
Jana nimekutana nae mitaa yao nlikua nawahi kucheki game ya united na liva nlimpita kama simjui akanipiga kikumbo nikajifanya ndo nimemuona,akanitambulisha mdogo wake wa kike nikamjibu tu "ok fine ngoja niwahi"

Najua anasubiri nimjib sms zake ambazo alizituma ila nimejiapia labda nirogwe
 
Sahihi kabisa
 
Umetisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…