Nimefuta namba zake zote

Ni kosa kutokujua kama ni kosa au la kufuta namba zake.
 
Umekosea kufuta namba, ungeileta kwangu tumsomee albadir
 
Hujakosea ukikaa wiki nzima hajakutafuta, leta mrejesho tukupe hatua nyingine ya kufuata
 
nilijua mke wa mugabe anataka kuja kuishi uhamishoni kwako[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12]
 

Je na picha / taswira ya Mbunye yake na yenyewe pia umei ' delete ' katika mbichwa wako huo?
 
Are you sure upo okay, sio ufute namba baada ya siku udanje
 
Hapa unanikumbusha nilivokuwa nagawa nusu ya salary aloo hawa viumbe wanasababisha tuwe n mioyo mipana ***
 
Akina Mugabe wapo wengi sana!kuandika tu hii thread ni dalili kwamba beki zako hazikabi umekwama
 
Umefuta namba kwenye simu afu kichwan ipo
 

Ili umkomeshe vizuri hama na mtaa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…