Oscar M Lungu
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 480
- 743
Akikutumia meseji jibu Na kufuta namba fastaMkuu rejea content ya uzi hapo juu.Sina kawaida ya kukariri namba ya msichana.
Hahaha acha akue kwanza ataelewa haya mamboHapo umemaliza mkuu. Kapumzike tu. Umeshaokoa maisha ya mtu
True,Mkuu mpaka kuleta bandiko bado unampenda huyo mdada ila juwa tu yeye hakupendi kuna mwenzio yupo nae busy anaepigiwa kila mda na kutumiwa text
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] brotherBora hata umejua mapema, hiyo inamaanisha yuko kwako kimaslahi zaidi ndiyo maana ukitaka kumuacha anakubembeleza anaona atapoteza kitu
Week sasa hujanitext... Nawaza kuzifuta namba dashemeji.Hahahaaaaa!
[emoji23] Sawa bwanaSio wote ujue tupo hivyo kama simpendi mtu namwambia ili nisimpotezee mda wake tatizo linakuja mwanaume hupendwi halaf king'ang'anizi kila ukiambiwa hutakiwi huelewi ndio yatakukuta kama ya mleta mada halaf kingine mtu hutakiwi si unajua jaman mapicha picha unayoletewa
Kuwa makini brother,hawa wenzetu wapo kimkakati[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] brother
Kweli kabisa. Mkuu.Kuwa makini brother,hawa wenzetu wapo kimkakati
Kaka shemeji usifute tafadhali, nitumie kwanza pesa.Week sasa hujanitext... Nawaza kuzifuta namba dashemeji.
Pesa si ukuje kuzichukua. Siku hizi makato ni makubwa da shemej...Kaka shemeji usifute tafadhali, nitumie kwanza pesa.
Kaka shemeji sina tatizo kabisa na makato, we tuma tu.Pesa si ukuje kuzichukua. Siku hizi makato ni makubwa da shemej...