Nimefuta namba zake zote

Umefuta namba zake na umezihifadhi google account .........Aaah
 
Umefanya kosa kubwa sana kuzifuta hivi hivi, ungeziweka kwanza hapa tumkanye akirudia ndo ufute
 
Mie nashangaa yani kusalimiwa au kutokusalimiwa unaacha demu?? Wakati papa lake anakupa?? Kwani salamu yake inakusaidia nini??
 
Mkuu mpaka kuleta bandiko bado unampenda huyo mdada ila juwa tu yeye hakupendi kuna mwenzio yupo nae busy anaepigiwa kila mda na kutumiwa text
 
Naomba niulize? Kabila gani huyo
kabila la mtu linakuhusu nini wewe!!! toa ushauri kama huna pita kimya kimya uende, ukilijua kabila lake utashiba ama!!!!
 
Bado hujakomaa kwenye industry ya mapenzi mkuu! Unasafari ndefu sana kuwa guru kwenye hii industry any way kila la kheri mkuu!
 
Badala ya kuzifuta ungenitujia mimi nikuwekee.
 
Siooo mbayaa keshachukuaa vyakee alivyokuwa anahitaj kwakoo pampuch yakee umeiachaa inapampuliwa tuu naa akina sisii...
 
Youngblood huo ndio ukweli mchungu jamaa anagharamia yupo anayekula kiulaini na kuulizwa kila mda babe unaendeleaje baby miss u ahahhah
Ila nyie wanawake mnadhambi sana,sasa kwanini asimwambie tu kwamba hampendi?
 
Ila nyie wanawake mnadhambi sana,sasa kwanini asimwambie tu kwamba hampendi?
Sio wote ujue tupo hivyo kama simpendi mtu namwambia ili nisimpotezee mda wake tatizo linakuja mwanaume hupendwi halaf king'ang'anizi kila ukiambiwa hutakiwi huelewi ndio yatakukuta kama ya mleta mada halaf kingine mtu hutakiwi si unajua jaman mapicha picha unayoletewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…