Nimefurahishwa na polisi wa Burundi

Nimefurahishwa na polisi wa Burundi

Ctr
.....Na jamaa aliyejaribu kumsaidia alikiona cha moto.
 
Last edited by a moderator:
Mmemsikia Kagame na Museveni? Hahahah kweli Nyani haoni Ng'abu
 
Wewe mtoa mada si Mtanzania. Lengo ni kuisema TZ ukumbuke waandamaji wa TZ hupewa viroba ili walete vujo na kuiba mali za watu.

Acha ushabiki usiokuwa na maana wewe gamba. Siku kina prof Lipumba wanazuiwa kuandamana na kupigwa sana huko mbagala ulikuwa umewanunulia viroba wewe. Mbona mnaleta ubishi hata kwenye mambo yanayoonekana with naked eyes!
 
Back
Top Bottom